mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Vp na ile kauli waliyoingiza kuhusu timu na uccmserikali isiingilie soka, tutakula kibano cha FIFA tukiendelea
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp na ile kauli waliyoingiza kuhusu timu na uccmserikali isiingilie soka, tutakula kibano cha FIFA tukiendelea
Hahahaa.......!
Kwani ana kosa gani hadi afukuzwe na Rais?!mwakyembe ajizuie kutoa matamko kwa kurupuka Amunike hakuajiliwa na serikali halafu anataka wachezaji wa kigeni wasizidi watano hali anajua mpira unaendeshwa kwa kanuni nafikiri anajihami asifukuzwe na rais
Alcon ------ Afcon
Time ------- Timu
Huko shule mlienda kusomea ujinga ?
Hahahaa...... Kifimbo cheza!Hahahahaha
Leo kapatikana
In fact na Mwakyembe mwenyewe ajiuzulu mara mojaWaziri wa michezo Dr Mwakyembe amesikitishwa na kitendo cha kiburi kilichoonyeshwa na viongozi wa juu wa TFF kwa kushindwa kuhudhuria kikao alichokiitisha.
Dr Mwakyembe amesema aliwaita viongozi wa TFF ili wamueleze sababu za kumfukuza Amunike na kumpa mikakati yao ya baadae lakini viongozi hao wameingia mitini.
Mwakyembe amesisitiza kuwa kama kocha ana matatizo maana yake hata uongozi wa juu wa TFF unapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tarehe 24/07/2019 waziri wa michezo Dr Mwakyembe atakutana na wadau wote wa michezo wakiwemo viongozi wa TFF na hapo atakata mzizi wa fitina na itajulikana maziwa ni yepi na tui la nazi ni lipi, amemalizia.
Source ITV habari
My take;
Mawazo ya Dr Mwakyembe yamefanana na yale yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe!
Wadau tunataka nao wajiuzulu kwani Amunike hakupata alichotaka kutoka TFFWaziri wa michezo Dr Mwakyembe amesikitishwa na kitendo cha kiburi kilichoonyeshwa na viongozi wa juu wa TFF kwa kushindwa kuhudhuria kikao alichokiitisha.
Dr Mwakyembe amesema aliwaita viongozi wa TFF ili wamueleze sababu za kumfukuza Amunike na kumpa mikakati yao ya baadae lakini viongozi hao wameingia mitini.
Mwakyembe amesisitiza kuwa kama kocha ana matatizo maana yake hata uongozi wa juu wa TFF unapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tarehe 24/07/2019 waziri wa michezo Dr Mwakyembe atakutana na wadau wote wa michezo wakiwemo viongozi wa TFF na hapo atakata mzizi wa fitina na itajulikana maziwa ni yepi na tui la nazi ni lipi, amemalizia.
Source ITV habari
My take;
Mawazo ya Dr Mwakyembe yamefanana na yale yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe!
Kwanini?!In fact na Mwakyembe mwenyewe ajiuzulu mara moja
Why?Na waziri pia awajibike!
Why?In fact na Mwakyembe mwenyewe ajiuzulu mara moja
Haiwezi ile wizara kama ambavyo anawaona wenzake hawaiwezi TFFKwanini?!
Mbona Juliana yuko kimya.....Why?
Hizo ni "auto corrections" si yale makosa ya R na L mnayoyafanya nyinyi kila siku kwa kusomea ujinga.Mchimba kisima kaingia mwenyewe!
Juliana amepewa kitengo cha utamaduni!Mbona Juliana yuko kimya.....
Au yeye ni kuwalima ban wasanii tu
Ova
Hahahaa.......!Hizo ni "auto corrections" si yale makosa ya R na L mnayoyafanya nyinyi kila siku kwa kusomea ujinga.
Hapo hujapata cha maana. Rekebisha R na L kisha ulete hiyo methali yako.