Waziri Mwakyembe asikitishwa na viburi vya TFF, adai kama Amunike ameondolewa basi Karia na wenzie nao wajiuzulu

mwakyembe ajizuie kutoa matamko kwa kurupuka Amunike hakuajiliwa na serikali halafu anataka wachezaji wa kigeni wasizidi watano hali anajua mpira unaendeshwa kwa kanuni nafikiri anajihami asifukuzwe na rais
 
Kwani ana kosa gani hadi afukuzwe na Rais?!
 
Waziri wa michezo Dr Mwakyembe amesikitishwa na kitendo cha kiburi kilichoonyeshwa na viongozi wa juu wa TFF kwa kushindwa kuhudhuria kikao alichokiitisha.

Dr Mwakyembe amesema aliwaita viongozi wa TFF ili wamueleze sababu za kumfukuza Amunike na kumpa mikakati yao ya baadae lakini viongozi hao wameingia mitini.

Mwakyembe amesisitiza kuwa kama kocha ana matatizo maana yake hata uongozi wa juu wa TFF unapaswa kuwajibika kwa kujiuzulu.
Tarehe 24/07/2019 waziri wa michezo Dr Mwakyembe atakutana na wadau wote wa michezo wakiwemo viongozi wa TFF na hapo atakata mzizi wa fitina na itajulikana maziwa ni yepi na tui la nazi ni lipi, amemalizia.

Source ITV habari

My take;
Mawazo ya Dr Mwakyembe yamefanana na yale yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema mzee Mbowe!
In fact na Mwakyembe mwenyewe ajiuzulu mara moja
 
Wadau tunataka nao wajiuzulu kwani Amunike hakupata alichotaka kutoka TFF
 
We told you before.
Ningelikuwa ni waziri ningelijiuzu kuonesha mfano.
 
Back
Top Bottom