Waziri Mwakyembe asikitishwa na viburi vya TFF, adai kama Amunike ameondolewa basi Karia na wenzie nao wajiuzulu

Muwe mnafanya utafiti kutoka nchi zingine wachezaji wa kigeni wangapi wanatakiwa kucheza nchi husika?Tusiwe dodoki la kusomba wachezaji wa kigeni wengi,ikifika wakati wa mashindano ya kimataifa ndio uhalisia huonekana(kama Afcon 2019, Misri).Mpira ni ajira kama ajira zingine,sheria za ajira/kazi zifuatwe.Waziri yupo sahihi.
mwakyembe ajizuie kutoa matamko kwa kurupuka Amunike hakuajiliwa na serikali halafu anataka wachezaji wa kigeni wasizidi watano hali anajua mpira unaendeshwa kwa kanuni nafikiri anajihami asifukuzwe na rais
 
Wajiuzuru kwa sababu gani? TFF na Mh. Makonda wanapaswa kupongezwa kwa kuifikisha Tz Afcon. Sisi wenyewe tulisema tunaenda kujifunza na sio kushindana. Kuhusu kufukuzwa kocha ni sahihi kabisa maana alikua hana mbinu yoyote. Kuhusu maoni ya Mbowe hayawezi kupewa uzito wowote kwa kuwa ameyatoa kipindi ambacho ana msongo mkubwa wa mawazo ya madeni makubwa anayodaiwa.
Hivi Waziri alienda Misri au walimtuma Piere Liquid kuwawakilisha? Waziri na Naibu wake ni wabunge lakini niliona Wabunge kadhaa walienda kule akiwemo Mh Job lakini waziri mwenye dhamana ama Waziri Mdogo sikuwaona; au macho yangu!! Matokeo yake ikawa kama Konda ndio mwenye dhamana huku akidai pesa toka Taasisi moja pesa zinazosemekana kuchangwa kwa ajili ya Stars lakini wao wakazitumia kwa ajili ya utalii kule Cairo!
TFF wala siwaoni kama wanafanya chochote ila na Waziri naye hana moral authority ya kuwakemea! Aliiacha timu mikononi mwa strangers hadi wanaanza kugombea michango.
 
Wajiuzuru kwa sababu gani? TFF na Mh. Makonda wanapaswa kupongezwa kwa kuifikisha Tz Afcon. Sisi wenyewe tulisema tunaenda kujifunza na sio kushindana. Kuhusu kufukuzwa kocha ni sahihi kabisa maana alikua hana mbinu yoyote. Kuhusu maoni ya Mbowe hayawezi kupewa uzito wowote kwa kuwa ameyatoa kipindi ambacho ana msongo mkubwa wa mawazo ya madeni makubwa anayodaiwa.

Unaongea ushubwada wewe.wacha kuchangia,kuliko kuchangia upuuzi kama huo.halafu inaelekea wewe ni timu bashite.na akili zako ni za kibashite
 
Muwe mnafanya utafiti kutoka nchi zingine wachezaji wa kigeni wangapi wanatakiwa kucheza nchi husika?Tusiwe dodoki la kusomba wachezaji wa kigeni wengi,ikifika wakati wa mashindano ya kimataifa ndio uhalisia huonekana(kama Afcon 2019, Misri).Mpira ni ajira kama ajira zingine,sheria za ajira/kazi zifuatwe.Waziri yupo sahihi.
wewe uliyefanya utafiti hebu elezea ulichogundua kama wachezaji wenu hawatoki nje mtapata wapi uzoefu
 
Muwe mnafanya utafiti kutoka nchi zingine wachezaji wa kigeni wangapi wanatakiwa kucheza nchi husika?Tusiwe dodoki la kusomba wachezaji wa kigeni wengi,ikifika wakati wa mashindano ya kimataifa ndio uhalisia huonekana(kama Afcon 2019, Misri).Mpira ni ajira kama ajira zingine,sheria za ajira/kazi zifuatwe.Waziri yupo sahihi.
Huo ndio upumbavu zaidi...acha wazawa wapate changamoto wakuze vipaji...lakini pia usitegemee kupata timu ya taifa bora kutoka katika ligi hii ya mbuzi.
 
Kama "Waziri mwenye dhamana ana makosa" na Rais aliyemteua huyo waziri nae "ana makosa", ang'atuke?

Ana dhamana ya nini huyo Waziri?

Jiwe Katuambia tena majuzi kati huko chattle kuwa tufyatuane. Tufuge pweza tugongane kunoma pengine tutazaa kina Messi.
 
Msema ukweli mpenzi wa Mungu.

Jamaa hana mwonekano wa kimichezo.

Hafai kuwa waziri wa Michezo.

Watenge liwizara abaki huko kwenye Habari n.k. tuwe na wizara ya michezo yenye waziri mwanamichezo. Huyu wamrudishe huko kwenye sheria
Mwenye muonekano wa kimichezo ni Paul Makonda tu
 
Back
Top Bottom