johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
TFF lakini hajalipwa mshahara kwa miezi mitatu sasa!Aliajiriwa na nani huyo Amunike?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TFF lakini hajalipwa mshahara kwa miezi mitatu sasa!Aliajiriwa na nani huyo Amunike?
Tena Waziri ndio ana dhamana kubwa!!Kama TFF ina makosa basi na yeye waziri mwenye dhamana ana makosa: wore wang'atuke
mwakyembe ajizuie kutoa matamko kwa kurupuka Amunike hakuajiliwa na serikali halafu anataka wachezaji wa kigeni wasizidi watano hali anajua mpira unaendeshwa kwa kanuni nafikiri anajihami asifukuzwe na rais
Wizara ilimlipa? Kama Haikulipa basi TFF wasiingiliweTFF lakini hajalipwa mshahara kwa miezi mitatu sasa!
Huyo anaona ametoa pointi,eti afukuzwe na Rais,Mkuu msamehe bure huyo.Kwani ana kosa gani hadi afukuzwe na Rais?!
Hivi Waziri alienda Misri au walimtuma Piere Liquid kuwawakilisha? Waziri na Naibu wake ni wabunge lakini niliona Wabunge kadhaa walienda kule akiwemo Mh Job lakini waziri mwenye dhamana ama Waziri Mdogo sikuwaona; au macho yangu!! Matokeo yake ikawa kama Konda ndio mwenye dhamana huku akidai pesa toka Taasisi moja pesa zinazosemekana kuchangwa kwa ajili ya Stars lakini wao wakazitumia kwa ajili ya utalii kule Cairo!Wajiuzuru kwa sababu gani? TFF na Mh. Makonda wanapaswa kupongezwa kwa kuifikisha Tz Afcon. Sisi wenyewe tulisema tunaenda kujifunza na sio kushindana. Kuhusu kufukuzwa kocha ni sahihi kabisa maana alikua hana mbinu yoyote. Kuhusu maoni ya Mbowe hayawezi kupewa uzito wowote kwa kuwa ameyatoa kipindi ambacho ana msongo mkubwa wa mawazo ya madeni makubwa anayodaiwa.
Wee kenya unawachukulia poa!
Kama "Waziri mwenye dhamana ana makosa" na Rais aliyemteua huyo waziri nae "ana makosa", ang'atuke?
Ana dhamana ya nini huyo Waziri?
Nimehama zamani sana.Kwa mantiki yako hata wewe nawe uhame nchi
Wajiuzuru kwa sababu gani? TFF na Mh. Makonda wanapaswa kupongezwa kwa kuifikisha Tz Afcon. Sisi wenyewe tulisema tunaenda kujifunza na sio kushindana. Kuhusu kufukuzwa kocha ni sahihi kabisa maana alikua hana mbinu yoyote. Kuhusu maoni ya Mbowe hayawezi kupewa uzito wowote kwa kuwa ameyatoa kipindi ambacho ana msongo mkubwa wa mawazo ya madeni makubwa anayodaiwa.
Ha ha haaaaaa... huyo bibi kizee leo kapatikanaAlcon ------ Afcon
Time ------- Timu
Huko shule mlienda kusomea ujinga ?
Umehamia Saudia ama wapi??Nimehama zamani sana.
Pitia hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/faidika-na-darsa-la-faizafoxy-uliza-chochote-utajibiwa.1146912/Umehamia Saudia ama wapi??
wewe uliyefanya utafiti hebu elezea ulichogundua kama wachezaji wenu hawatoki nje mtapata wapi uzoefuMuwe mnafanya utafiti kutoka nchi zingine wachezaji wa kigeni wangapi wanatakiwa kucheza nchi husika?Tusiwe dodoki la kusomba wachezaji wa kigeni wengi,ikifika wakati wa mashindano ya kimataifa ndio uhalisia huonekana(kama Afcon 2019, Misri).Mpira ni ajira kama ajira zingine,sheria za ajira/kazi zifuatwe.Waziri yupo sahihi.
Makosa sawa na ya TFFKwani ana kosa gani hadi afukuzwe na Rais?!
Huo ndio upumbavu zaidi...acha wazawa wapate changamoto wakuze vipaji...lakini pia usitegemee kupata timu ya taifa bora kutoka katika ligi hii ya mbuzi.Muwe mnafanya utafiti kutoka nchi zingine wachezaji wa kigeni wangapi wanatakiwa kucheza nchi husika?Tusiwe dodoki la kusomba wachezaji wa kigeni wengi,ikifika wakati wa mashindano ya kimataifa ndio uhalisia huonekana(kama Afcon 2019, Misri).Mpira ni ajira kama ajira zingine,sheria za ajira/kazi zifuatwe.Waziri yupo sahihi.
Kama "Waziri mwenye dhamana ana makosa" na Rais aliyemteua huyo waziri nae "ana makosa", ang'atuke?
Ana dhamana ya nini huyo Waziri?
Mwenye muonekano wa kimichezo ni Paul Makonda tuMsema ukweli mpenzi wa Mungu.
Jamaa hana mwonekano wa kimichezo.
Hafai kuwa waziri wa Michezo.
Watenge liwizara abaki huko kwenye Habari n.k. tuwe na wizara ya michezo yenye waziri mwanamichezo. Huyu wamrudishe huko kwenye sheria