johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa habari Mhe. Mwakyembe amesema hakuna Media yoyote ya kimataifa iliyoxuiwa kufanya kazi nchini.
Kadhalika hakuna kanuni yoyote inayomtaka mtangazaji wa media hizo kuandamana na askari kila anapoenda kufanya mahojiano na wanasiasa.
Waziri Mwakyembe amesema hayo katika mahojiano na mtangazaji Zuhra Yunus wa BBC.
Mwakyembe amesisitiza kuwa kilichofanyika ni kuvitaka vyombo vyote habari kuzingatia maadili ya nchi kwenye maudhui ya habari wanazoripoti.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!