Waziri Mwakyembe: Hakuna Chombo cha Habari cha Kimataifa kilichofungiwa na Serikali

Waziri Mwakyembe: Hakuna Chombo cha Habari cha Kimataifa kilichofungiwa na Serikali

Nakupa ushauri leo. Fuatilia pages zote zilizotangaza masuala ya tcra leo alafu kasome comments za wananchi

Fuatilia pia pages za ITV Facebook zilizotangazakipindi cha dk 45 akihojiwa Siro alafu Soma comments za wananchi.

Watu wamefika point of no return wanapasuka tu na hawajali
Hapana geni hapo watz kupasuka kwenye mitandao wanaongoza ila kwenye uhalisia zero, nakumbuka vyema maandamano ya yule dada kwenye mitandao yalivyokuwa na kwenye uhalisia ilikuwaje
 
Hapana geni hapo watz kupasuka kwenye mitandao wanaongoza ila kwenye uhalisia zero, nakumbuka vyema maandamano ya yule dada kwenye mitandao yalivyokuwa na kwenye uhalisia ilikuwaje
Usimfananishe takataka mange na shujaa Lissu
 
Back
Top Bottom