johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapo sasa ndiyo maaana tunasema kuwa Lissu ni mkono wa munguWataongea lugha zote mwaka huu ila Itoshe tu kusema TCRA wamempigia kampeni Lissu mara milioni moja
Team ya kampeni ya Lissu inaongozwa naCCM kama kawaida yao, Wamejamba na kuwasha feni faster
Umeniwahi kiongozi. Natafuta swali lingine.Kumbe bado yupo
Ahahaha, lilete mkuuUmeniwahi kiongozi. Natafuta swali lingine.
Kweli tupuTeam ya kampeni ya Lissu inaongozwa na
1. TCRA
2. Polisi
3. Ofisi ya Mashtaka...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CCM kama kawaida yao, Wamejamba na kuwasha feni faster
Na anawanyoosha kweliLissu anazidi kuwanyoosha Tz nzima
Hakuna watu wanaopenda kujifariji kama cdm hiyo kampeni aliyopigiwa lisu na tcra sijui itampa kura ngapi ikiwa mwenyewe anashindwa kujikampeni kazi kupinga tu vitu vilivyofanywa na mwanaume mwenzake unategemea niniWataongea lugha zote mwaka huu ila Itoshe tu kusema TCRA wamempigia kampeni Lissu mara milioni moja
Wewe asiposema unayotaka kufikia unaona anajipendekeza😂! Hivi uliufanyaje mtihani wa STD vii!?🤣😂🤣!Huyu waziri naye anajifanya bingwa wa kujipendekeza na hizo degree zake 4
Acha kujitoa ufahamu, kwani mpiga kampeni ndo anayepiga kura? Au msikiliza kampeni?Hakuna watu wanaopenda wakujifaiji kama cdm hiyo kampeni aliyopigiwa lisu na tcra sijui itampa kura ngapi ikiwa mwenyewe anashindwa kujikampeni kazi kupinga tu vitu vilivyofanywa na mwanaume mwenzake unatgemea nini
Wataongea lugha zote mwaka huu ila Itoshe tu kusema TCRA wamempigia kampeni Lissu mara milioni moja
Nakupa ushauri leo. Fuatilia pages zote zilizotangaza masuala ya tcra leo alafu kasome comments za wananchiHakuna watu wanaopenda kujifariji kama cdm hiyo kampeni aliyopigiwa lisu na tcra sijui itampa kura ngapi ikiwa mwenyewe anashindwa kujikampeni kazi kupinga tu vitu vilivyofanywa na mwanaume mwenzake unategemea nini