Nakupa ushauri leo. Fuatilia pages zote zilizotangaza masuala ya tcra leo alafu kasome comments za wananchi
Fuatilia pia pages za ITV Facebook zilizotangazakipindi cha dk 45 akihojiwa Siro alafu Soma comments za wananchi.
Watu wamefika point of no return wanapasuka tu na hawajali