Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #101
Vijana tunapenda story za kudanganyana sana.Story za vijiweni, lini malkia alikuja bongo
Moja ya kazi ya sanaa ni kuburidisha na kuliwazà, si lazma uelimishe!! Uo wimbo una burudisha tu na kuliwaza!!jadilini hoja acheni upuuzi.mtoa maada anasema huo wimbo unatujengea nini?Au unatoa funzo gani kwa vijana au vizazi vijavyo?wengine wanauliza ndo umeandika nini.kama huna hoja kaa kinywa waache wenye hoja wachangie.
Amepost Bahati Mbaya...thibitisha kuwa bongo aliyokuwa anaizungumzia young d ni Tanzania
Hii nchi inalindwa kwa gharama kubwa sana alafu mtu analeta ujinga wa ku - brainwash vijana implicitly kisha watu wanataka tukae kimya?jadilini hoja acheni upuuzi.mtoa maada anasema huo wimbo unatujengea nini?Au unatoa funzo gani kwa vijana au vizazi vijavyo?wengine wanauliza ndo umeandika nini.kama huna hoja kaa kinywa waache wenye hoja wachangie.
Mkuu endelea tu kusoma comments za namna vijana wanavyochukia nchi yao. kama wapo Bongo bahati mbaya kwanini wasihame waende huko kwenye bahati nzuri wanapostahili kuwepo?Me naendelea kuangalia comments tu
Sasa hapo wewe ni mkimbizi wakati si wewe wala wazazi wako aliyekimbia?Mimi ni mkimbizi kabisaaa.
Baba na mama walipo kuja kutalii tanzania wakanisahau.
Wanipe tu passport nikatafute kwetu.Sasa hapo wewe ni mkimbizi wakati si wewe wala wazazi wako aliyekimbia?
Wewe si mkimbizi, una status nyingine. Tena wewe ndio UPO BONGO KWA BAHATI MBAYA kabisaaa!!
Najua juhudi zangu zitanikomboa siku moja na sio serikaliWe umeridhika na maisha ya kufunga ubuyu?