SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mkuu kwa taarifa yako hii ndiyo sababu imefanya dola iingilie kati kuibomoa Simba wakirejea ya Moise Katumbi wa TP Mazembe. Ila wameingia kiboya kama Musiba alivyoingia kiboya kumtetea mkulu. Hili litawagharimu sana,yaani wameharibu move yao.Alilokuwa akilitafuta kwa wana Simba SC atalipata Mkuu Wewe tulia tuli tu! Labda amesahau kuwa Simba na Yanga ndiyo Tanzania na Simba na Yanga ndizo zinaamua nani awe Rais nchi hii na Simba na Yanga pia zina Mchango mkubwa sana katika Mikakati yote ya Kimaendeleo ya nchi hii na asisahau kuwa hata hizo Kura sijui Milioni Nane ( kama zilikuwa za Ukweli ) alizozipata Bosi wake Mkuu na leo ndiyo anatuongoza Watanzania yawezekana Kura Milioni Nne zilikuwa za Wanasimba watupu na zilizobaki Kura Milioni Nne zilikuwa za Washamba ( Mambwiga ) Yanga. Acheze na Timu zote lakini akae mbali mno na hizi Timu Kongwe mbili Simba na Yanga. Hivi hajui kwamba kama wana Simba SC wote wakihimizana hakuna Kupiga Kura au Kumuunga Mkono Bosi wake au Kushiriki katika Jambo lolote lile la Kimaendeleo nchi itasimama na hadi kutikisika?