Waziri Mwakyembe peleka Mrejesho wetu huu Sisi wana Simba SC kwa wale wenye Chuki Wenzio na Mwekezaji wetu Mo Dewji

Mkuu kwa taarifa yako hii ndiyo sababu imefanya dola iingilie kati kuibomoa Simba wakirejea ya Moise Katumbi wa TP Mazembe. Ila wameingia kiboya kama Musiba alivyoingia kiboya kumtetea mkulu. Hili litawagharimu sana,yaani wameharibu move yao.
 
Kwa aina ya Roho mbaya yake na Unafiki wake leo hii ukiniambia Waziri Mwakyembe ni mwana Simba SC nakukatalia mapema tu. Huyo ni mwenzenu nyie Mambwiga ( Washamba FC ) Yanga SC. Yaaani ametukukwaza hadi tumeanza kuwaza ni kwanini ile Sumu haikuongezwa Kipimo ili leo hii Simba SC isingepata haya Majaribu kutokana na Maamuzi yake.
 
Mkuu kwa taarifa yako hii ndiyo sababu imefanya dola iingilie kati kuibomoa Simba wakirejea ya Moise Katumbi wa TP Mazembe. Ila wameingia kiboya kama Musiba alivyoingia kiboya kumtetea mkulu. Hili litawagharimu sana,yaani wameharibu move yao.

Na wasilolijua tu ni kwamba kwa hapa Tanzania Simba na Yanga ni zaidi ya TP Mazembe na Moise Katumbi Chapwe wao na kwamba haya Maamuzi ya Serikali hasa hii ya CCM kupitia huyu Waziri yanaweza yakawagharimu Kisiasa na wasije Kuamini Macho na Masikio yao. Chokoza Timu zote nchini Tanzania ila siyo Simba na Yanga. Naishauri Serikali na kupitia huyu huyu Waziri Mnafiki Mwakyembe watengue upesi huu Uamuzi na watuachie wana Simba SC na Uamuzi wetu wa Kumpa Mwekezaji Wetu Mpendwa Mo Dewji amiliki Yeye kama Yeye hizo 49% vinginevyo mbele ya Safari wasije Kutulaumu wana Simba SC kwa Maamuzi yetu ya Kimsimamo ambayo tutaamua Kuyachukua.
 
HAIRUHUSIWI NDUGU KUMILIKI TIMU LABDA WAANZISHE YAO
 
Umewasahau dauda na saleh Jembe
 
Hili mnalolifanya ndio linasababisha wafanye haya maamuzi. Wanajaribu kuangalia kilichotokea DRC. Je unafikiri kama Katumbi angegombea urais asingeshinda? Wanasiasa ni watu waoga sana.
 
Teh!mikia mnalo hilo,kwanza sheria inasema hao wadhamini wasitoke familia 1,mliongea hadi mkamaliza maneno yote,ngoja tuone sasa hii ngoma mnaichezaje
Tulia utaona ngoma inavyoisha... hii ndio bongo
 
ndugu hawa ruhusiwi kumiliki hisa za klabu moja . hapo kilomoni apewe 30% , nkwabi 10% , MO 9%
Kilomoni mwenyewe amesema hana uwezo wa kuendesha klabu, sasa hizo 30% ataweka nini..? au Mzula
 
Siku Mh. ukakosea njia ukaja simba day au kwenye tukio lolote la simba utajuta tutakuzomea kinomanoma
 
Tulia utaona ngoma inavyoisha... hii ndio bongo
Hamna ngoma kwisha hapo,mchezo ndio umeishia hapo ama muongeze wadhamini wengine 2,Yanga tunasubiria tubadilishe mfumo tu,maana tuna wadhamini kama 4 hivi ambao wako standby,gsm,sayona,riz1 wa4 simtaji usije ukalia bure
 
Yanga wapo ila Simba ndio hawapo?.. Bakuli linakuchanganya mkuu
 
simba sio mali ya seriali, waliangalie litim lao la stars kwanza
 
Hivi hujamsikia aliposema na hiyo hisa ya 49% haiwezi milikiwa na watu toka familia moja,si bure ametumwa huyu shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…