KERO Waziri mwenye dhamana aingilie kati. CRDB imeshindwa kuhudumia Watanzania

KERO Waziri mwenye dhamana aingilie kati. CRDB imeshindwa kuhudumia Watanzania

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako.

Utakula nini? Kama ndio pesa uliyobakiza kwa ajili ya matumizi ?

Hii bank haifai na imeshindwa kuhudumia watu.
 
Option ni kwenda dirishani, chukua kila kilicho chako, hamishia kwenye taasisi nyingine. Hatuwezi kubembelezana na watu wanaoshindwa kutoa huduma kwa fedha zetu wenyewe.

Sijui kitu gani kimewakumba hawa jamaa, theft, hacking or money laundering? Watu wanaumizwa bila sababu zozote!!
 
Ni kama failed state (nchi aina usimamizi). Binafsi sijui kinachoendelea CRDB ila makelele yamekuwa mengi.

Waziri wa fedha, kimya
Regulator wa industry BoT, kimya
CRDB management, kimya

Wateja wanasintofahamu ya akiba zao na access ya hela zao and no one cares, ndani ya bank wala serikalini.

Wanasubiri mpaka ‘bank run’ ianze ndio watoe kauli. Who knows, this might be more than IT glitch, rather the bank is broke.

Tanzania is a country which has met all the criteria’s of banana republic at this point.
 
Tulieni safari bado ndefu 😹
Tufungue kifungu cha biblia tuombe okay?
IMG_5788.jpeg
 
Option ni kwenda dirishani, chukua kila kilicho chako, hamishia kwenye taasisi nyingine. Hatuwezi kubembelezana na watu wanaoshindwa kutoa huduma kwa fedha zetu wenyewe.

Sijui kitu gani kimewakumba hawa jamaa, theft, hacking or money laundering? Watu wanaumizwa bila sababu zozote!!
Huenda huu ndio mwanzo wa hii benki kuyumba kama sio kufa kabisa siku za mbeleni.
 
Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako.

Utakula nini? Kama ndio pesa uliyobakiza kwa ajili ya matumizi ?

Hii bank haifai na imeshindwa kuhudumia watu.
Ni kweli kabisa , huu ni mtihani kweli . Mambo hayaendi kabsa
 
Najiuliza weekend hii ndio watoto wanarudi shule, ada kwa kiasi kikubwa zinalipwa kupitia Bank hii. Hali itakuwa mbaya sabn maana kama mtu unajielewa huwezi kufanya transaction yoyote kabla ya kujiridhisha.
 
Back
Top Bottom