Kwa msisi yetu
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 844
- 1,450
Mitano tena kwa mama na October tunatik ✅️✅️✅️
Watanzaniaaa daaaaa.....CRDB ni bank kubwa inaenda kufa kifo kibaya sana alafu mamlaka ya Usimamizi wa Bank BOT wako kimya hizi mamlaka sijui huwa zinafanaya kazi gani?
Vipii umeshahama??Mm kesho asubuhi naenda uso kwa uso pale benki kuondoa mpunga
Changamoto sanaNajiuliza weekend hii ndio watoto wanarudi shule, ada kwa kiasi kikubwa zinalipwa kupitia Bank hii. Hali itakuwa mbaya sabn maana kama mtu unajielewa huwezi kufanya transaction yoyote kabla ya kujiridhisha.
mimi nilivyoona tu wanaissue bonds kibao kwa fujo, mara green bond, mara sukuk, nikasema "Hiiii" na juzi wakasogeza mbele deadline ya hio sukuk nn sijui bond hapo nikaconfirm these niggas are brokebank might be broke
ingekua europe au usa, hapo ngoma ingekua 20Tzs hv na DSE wangehalt tradingHisa kutoka 1800 leo zipo 1160, leo imedrop 10%..tutaelewana tu
wako kimya sabb walikua wanajua kinachoendelea na wakawa wanasuka bailoutCRDB ni bank kubwa inaenda kufa kifo kibaya sana alafu mamlaka ya Usimamizi wa Bank BOT wako kimya hizi mamlaka sijui huwa zinafanaya kazi gani?
Staki kuhusisha moja kwa moja na uchaguzi ila huenda vikawa na uhusiano kwa namna moja ama nyingine! Maana ikiwa mtoa huduma na anaemsimamia mtoa huduma wote hawasemi shida nini maana yake wote wawili wanajua kuna zaidi ya nguvu yao... anyway huenda hata tunaemwambia nae amezuiwa asiingie hum kwa hyo machozi yanaenda na maji😙😙😙😙Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako.
Utakula nini? Kama ndio pesa uliyobakiza kwa ajili ya matumizi ?
Hii bank haifai na imeshindwa kuhudumia watu.
Hii ya sasa Italiza wengi sana.ilianza DECi, ikaja Inclusive Forex, ikaja Kalynda, ikafata LBL, Saivi CRDB.
Watanzania mtajifunza lini?
sasa pesa imeenda wapi?Hisa kutoka 1800 leo zipo 1160, leo imedrop
Mambo ya hovyo sanaMamlaka ziko busy na chadema.Yaan chadema wakiwa wanne tu wanakamatwa na mamlaka zinatoa maelezo chap ila huku leo karibia wiki bank inazingua wako kimyaaaaaaa
😆ilianza DECi, ikaja Inclusive Forex, ikaja Kalynda, ikafata LBL, Saivi CRDB.
Watanzania mtajifunza lini?
Huu ndio.mda wa kununua hisa za crdbHisa kutoka 1800 leo zipo 1160, leo imedrop 10%..tutaelewana tu
Vipi hata ukitolea dirishani kupitia SimBanking napo haiwezekani mkuu?? Au hujajaribuUnatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako.
Utakula nini? Kama ndio pesa uliyobakiza kwa ajili ya matumizi ?
Hii bank haifai na imeshindwa kuhudumia watu.
Hongera Sana mkuu kwa kuwaza nje ya "zizi"Huu ndio.mda wa kununua hisa za crdb
Kama unaenda dirishani Simbanking ya nini?Vipi hata ukitolea dirishani kupitia SimBanking napo haiwezekani mkuu?? Au hujajaribu
Majid CRDB imemshinda. Amekuwa 'politicized', kajaa kwenye mfumo wa wana siasa ndio maana wanapenda kumteua kuwa mjumbe wa bodi mbalimbali za mashirika ya umma. Yeye anajiona mwamba kumbe wanatwist. Kwasasa huyo wampe ubunge wa kuteuliwa , wakampe uwaziri ndio akili yake itatulia.Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako.
Utakula nini? Kama ndio pesa uliyobakiza kwa ajili ya matumizi ?
Hii bank haifai na imeshindwa kuhudumia watu.
Watoe watu kwenye taaluki ndo kazi ya mamlakawako kimya sabb walikua wanajua kinachoendelea na wakawa wanasuka bailout