KERO Waziri mwenye dhamana aingilie kati. CRDB imeshindwa kuhudumia Watanzania

KERO Waziri mwenye dhamana aingilie kati. CRDB imeshindwa kuhudumia Watanzania

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Meneja kutwa yupo na wanasiasa as if bank ni tawi la mbogamboga mnategemea nini wahuni washafanya uhuni wao
 
Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako.

Utakula nini? Kama ndio pesa uliyobakiza kwa ajili ya matumizi ?

Hii bank haifai na imeshindwa kuhudumia watu.
Tuliza wenge. We Una hela gani benki?
 
Pamoja na yote serikli imeipongeza benki hii kufungua ofisi dubai ndo maana mfumo umecheza cheza🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha sio hiyo tuu crdb wamefungua benk Nyakantuntu huko kijijini kabisa kwa msekeni mkurugenzi

Sijui hiyo benk itajiendeshaje

Akati ,ziko wilaya nchini crdb hawana taxi kama Ileje na zingine kibao tuu
 
Jana s tulimuona mkurugenz wenu wa crdb anasema n mifumo sjui ya nchi tatu, mambo yako sawq
 
Wakati wewe unajiandaa kulala kuna wengine wapo kwenye masherehe,misibani,kumbi za starehe,nje ya nchi, hospitals,safarini,mikesha ya misa etc.

Jitahidi sana kutopangia watu maisha
Sikukupangia, nilikukumbusha wajibu, kulala ni afya...
 
Dogo tulia tumekutunzia pesa zako sehemu salama ndo maana hata wewe huzioni ukipiga kelele tunaweza tusikurudishie hata senti 1
 
Hao ni ma untouchable even the regulator cannot touch them. Hapa nguvu ya wateja tu ichukue mkondo
 
Back
Top Bottom