Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Huenda huu ndio mwanzo wa hii benki kuyumba kama sio kufa kabisa siku za mbeleni.Option ni kwenda dirishani, chukua kila kilicho chako, hamishia kwenye taasisi nyingine. Hatuwezi kubembelezana na watu wanaoshindwa kutoa huduma kwa fedha zetu wenyewe.
Sijui kitu gani kimewakumba hawa jamaa, theft, hacking or money laundering? Watu wanaumizwa bila sababu zozote!!
Tanzania hakuna mamlaka ni vikundi vya wahuni vimejiweka huko kwenye idaraCRDB ni bank kubwa inaenda kufa kifo kibaya sana alafu mamlaka ya Usimamizi wa Bank BOT wako kimya hizi mamlaka sijui huwa zinafanaya kazi gani?
Ni kweli kabisa , huu ni mtihani kweli . Mambo hayaendi kabsaUnatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako.
Utakula nini? Kama ndio pesa uliyobakiza kwa ajili ya matumizi ?
Hii bank haifai na imeshindwa kuhudumia watu.
CCMRDB inaweza kuwafanya watu waoshe vyombo kweli?Hiyo bank itafanya watu waoshe vyombo hotelini.
Mifumo Yao ikikaa sawa zitafanyika withdrawal za hatari
CCMRDB atakamatwa na nani unataka ajikamate mwenyewe umesikia wapi? Halafu wapo busy na mambo mengine cheza Bima ushinde rafikiMamlaka ziko busy na chadema.Yaan chadema wakiwa wanne tu wanakamatwa na mamlaka zinatoa maelezo chap ila huku leo karibia wiki bank inazingua wako kimyaaaaaaa
Mm kesho asubuhi naenda uso kwa uso pale benki kuondoa mpungaHiyo bank itafanya watu waoshe vyombo hotelini.
Mifumo Yao ikikaa sawa zitafanyika withdrawal za hatari