KERO Waziri mwenye dhamana aingilie kati. CRDB imeshindwa kuhudumia Watanzania

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Najiuliza weekend hii ndio watoto wanarudi shule, ada kwa kiasi kikubwa zinalipwa kupitia Bank hii. Hali itakuwa mbaya sabn maana kama mtu unajielewa huwezi kufanya transaction yoyote kabla ya kujiridhisha.
Changamoto sana
 
Staki kuhusisha moja kwa moja na uchaguzi ila huenda vikawa na uhusiano kwa namna moja ama nyingine! Maana ikiwa mtoa huduma na anaemsimamia mtoa huduma wote hawasemi shida nini maana yake wote wawili wanajua kuna zaidi ya nguvu yao... anyway huenda hata tunaemwambia nae amezuiwa asiingie hum kwa hyo machozi yanaenda na maji😙😙😙😙
 
Vipi hata ukitolea dirishani kupitia SimBanking napo haiwezekani mkuu?? Au hujajaribu
 
Majid CRDB imemshinda. Amekuwa 'politicized', kajaa kwenye mfumo wa wana siasa ndio maana wanapenda kumteua kuwa mjumbe wa bodi mbalimbali za mashirika ya umma. Yeye anajiona mwamba kumbe wanatwist. Kwasasa huyo wampe ubunge wa kuteuliwa , wakampe uwaziri ndio akili yake itatulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…