Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Nape Nnauye.png

Je, ni sahihi kwa waziri kutukana hovyo hivi
 
Hawawezi kukubali starlink ije iwekeze tanzania ilhali wana hisa vodacom na tigo mixer airtel ...hapo conflict of interest inapochukua nafasi
Ndo maana tuko nyuma sana kwenye data tunashindwa hadi na zambia
 
Nape, Makamba na Mwigulu ni majembe ya SSH hawezi kuyatoa kwenye baraza lake.
Ina maana wanashirikiana na mama yao kutu umiza si ndio ngoja kipindi cha kupiga kura tutafanya maamuzi
 
Kuna ukweli huwa hatutaki kusema .....starlink sio kwa watanzania walio wengi nevsr ....tupambane bundle zetu hizi hizi kule hatuweziii hataaa....nakwambia mm mdau huko piaaa
Kaka kuna wengine hiyo pesa sio kubwa kwetu mimi nikifunga mtaani kwangu naweza kutumia na watu wa mtaani kwangu hata hapa napoishi natumia supakasi ila kuna watu zaidi ya 50 nimewapa free
 
Back
Top Bottom