Waziri mwenye kauli chafu na hata akiambiwa kitu na wananchi anapuuzia na ndo huyu kafanya Starlink wasifanye kazi Tanzania

Sawa chawa wa mama ambae hujui kitu chochote kuhusu satellite internet usi sahau kumpa hiii na nape uko unapo kwenda kwa heri comrade
Mimi siko huko ...mimi free consultant....telecom hujui unaloongea...satelute hazipo kwa watu kama wewe mimi tuna strughle bundle .....kuwaza mlo wa kesho....bye
 
Mimi siko huko ...mimi free consultant....telecom hujui unaloongea...satelute hazipo kwa watu kama wewe mimi tuna strughle bundle .....kuwaza mlo wa kesho....bye
Sawa kaka ivi unawajua connect wifi hao natolea mfano ni manguli wa satellite internet africa na internet yao ina kasi sana haijawahi sumbua ndo maana sehemu ambazo fiber hakuna watu hutumia satellite internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…