johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
MATAJIRI wa kwenye makaratasi
Ngoja Bwana Madilu aje aweke tozo kwenye sadaka ya Kila Muumini anayoitoah! Hapo ndipo utakapojua awam hii ni HAPA KODI TUNakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba.
Kwa kifupi sana:
Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku za Jumapili na kwenye mikutano ya Injili.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Sisi ni matajiri tena kweli kweli,ila utajiri wetu ni wa lile tabaka lijionalo ni daraja la kwanza,lile I kikundi cha wachache,wenye mtazamo kuwa ndio wamiliki Wa Tanzania.
Wenzako hesabu zimekubali, nikipanda daladala kwenda na kurudi sh.800/= mpaka 1,000/= hivyo naokoa sh 1,000/= kwenye makato ya sh 2,000/=. Kibinyo ni kwa mamantilie na machinga ambao m-pesa ndiyo ilikuwa benki yao.Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba.
Kwa kifupi sana:
Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku za Jumapili na kwenye mikutano ya Injili.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Tozo iongezwe....✌️Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba.