Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Bosi wako huyo
Nani?Sio yeye huyo.
Mbii katii uwee🤣Burudani na kukopa wapi na wapi?
Ume-panic mpaka ukaandika upumbavu! Sasa Bing ndo nini?Bing kufa mapema kwa pressure upende wewe mwenyewe tu
namshangaa, watu tunakopa bia, zikipanda tunaserebuka na bar maids, manager akijichanganya anakula matusi ya maana, tunaondoka na bar maid naye anakopwa.Burudani na kukopa wapi na wapi?
Kuna video nyingine tofauti na hii? Mbona sioni anapokatika mauno
Si ndiyo hivyo anakukatikiaga wakati akikuinamisha?
jamaa limefanana kichizi na kaka Tozo.