Wanashangilia kwa sababu hiyo sheria itawaumiza watu wa kawaida. Wao si wataendelea kununua zile V8 VXR zao zenye 0 Km!!Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa nguvu sana.
Yani baada ya vichwa vya treni mitumba kukosolewa na wananchi kwa nguvu sana ,ubunifu wa Mwigulu Nchemba ni kutunga sheria ya mitumba ili muache kukosoa!!!
Kwa hiyo Magufuli alivivumilia ndio akafuta sheria?Ndiyo maana sheria ya mitumba ilifutwa ,taifa likaanza kununua ndege mpya.
Halafu vikiua watu msianze kutafuta mchawi ni yupi.Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa nguvu sana..
We si unajua hao wabunge 95%hawakushinda kihalali bali walishindishwa na shujaaMwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa nguvu sana.
Yani baada ya vichwa vya treni mitumba kukosolewa na wananchi kwa nguvu sana ,ubunifu wa Mwigulu Nchemba ni kutunga sheria ya mitumba ili muache kukosoa!!!
Wao vitu vyao vyote ni vipya, hata suti ni made in Italy, brand newWanashangilia kwa sababu hiyo sheria itawaumiza watu wa kawaida. Wao si wataendelea kununua zile V8 VXR zao zenye 0 Km!!
Au hiyo sheria pia itaruhusu na wenyewe kununua magari mikweche kama haya ya kwetu? Maana hao watu hawajawahi kuwa na faida kwa Taifa. Ubinafsi ndiyo umewajaa.
Hatuna uhakika lakini pia aliweka order ya mabehewa used na vichwa vyake harafu mnakuja kumsingizia SamiaAlafu yeye akanunua bombadier na dreamliner mpya??
Yule ni 🚮Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa nguvu sana.
Yani baada ya vichwa vya treni mitumba kukosolewa na wananchi kwa nguvu sana ,ubunifu wa Mwigulu Nchemba ni kutunga sheria ya mitumba ili muache kukosoa!!!
Mazuri yalikuwa mengi kuliko mabaya.mbona magu alikua anamabaya mengitu
sidhaniMazuri yalikuwa mengi kuliko mabaya.