sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Ilikuwa kipindi cha upigaji dili kama sasa. Yaani unaagiza kisha unakuja kuuzia shirika..baada mbaya vilichelewa kuja vikakuta regime nyingine.Yale mabehewa sijui vichwa vya treni vilivyokosa mwenyewe ulikuwa wakati wa nani
Kuna miaka fulani wakati David Mataka akiwa mkurugenzi wa ATC enzi za ufisadi kama sasa, basi yeye pamoja na wenzie kina kapteni Mazola (rip) waliagiza mavolvo kwa jina la ATC, yalipofika tu wakajimilikisha.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app