Waziri Mwigulu apendekeza sheria mpya ya Serikali kununua vitu vilivyotumika (mtumba)

Salam comrades,

Asanten kwa mijadala critical na yenye tija kwa Nchi yetu.

Naomba kutoa ufafanuzi moja hata kama ni kwenye kichwa cha Thread.

SIJAPENDEKEZA SHERIA MPYA YA SERIKALI KUNUNUA VITU VILIVYOTUMIKA. Hii ilikwepo kwenye Sheria ya Zaman ambayo tumeiandika upya someni kifungu cha 65B na 66 cha Sheria iliyomaliza muda.

Kwenye Sheria mpya pia Sikupendekeza kuifuta, NILIPENDEKEZA KIFUNGU KIDOGO CHA KUNIWEZESHA KUTUNGA KANUNI ZA KUWEKA UTARATIBU MZURI WA KUTOKUINGIZA BIDHAA ZILIZOTUMIKA BILA KUUNDA KAMATI AU NODI YA WATAALAM KUVIANGALIA KITAALAM VITU HIVYO.

Labda ningelaumiwa kuwa nyongeza hii haitoshi au ningelaumiwa kwa kuiacha bila kuifuta 😂
Asante kwa ufafanuzi Mkuu
 
Asante sana kwa ufafanuzi mheshimiwa, muda ni mwalimu mzuri.
 
Bodi hizi hizi zinazokuwa na watu waliojaa kutoka CCM?! 🤔
 
Back
Top Bottom