Pre GE2025 Waziri Mwigulu ashangaa Tanzania kuishi kwa kutegemea Misaada!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siri ya kujitegemea ni kubana matumizi; kutumia rasilimali kwa kuzingatia vipaumbele vikuu vya maendeleo: vifahili (facilities) na miundombinu ya makazi, biashara, usafirishaji, nishati, maji, afya, ulinzi & usalama, elimu na utafiti.

Taifa linalojiendea tu katika masuala nyeti kama elimu ni taifa mfu mwanzo mwisho.
 
Shame!
Anaekimbizana na mikopo ni yeye!
Anaetakiwa kutoa dira ya kutokopa ni yeye!
Anaelalalmika kuwa tunakopa sana ni yeye!
majizi wa fedha hizi ni wao wao watawala!
Hizi akili za watu wetu hawa kamwe hatuwezi kwenda popote!
 
"Lazima kama Taifa tuwe na mikakati ya kujitegemea sio heshima Nchi kama Tanzania tunaishi kwa misaada ili tufikie huku lazima tulipe na kukusanya kodi ambapo bado tunapata shida katika maeneo haya."

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema hayo leo, Jumanne 23/1/2024 Jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (TOST).

View attachment 2880814

Huyu mzee ni mjinga sn, yeye mwenyewe ni sehemu ya tatizo kubwa haswa kwa nchi
 
Siri ya kujitegemea ni kubana matumizi; kutumia rasilimali kwa kuzingatia vipaumbele vikuu vya maendeleo: vifahili (facilities) na miundombinu ya makazi, biashara, usafirishaji, nishati, maji, afya, ulinzi & usalama, elimu na utafiti.

Taifa linalojiendea tu katika masuala nyeti kama elimu ni taifa mfu mwanzo mwisho.
Upo sahihi sn mkuu
 
"Lazima kama Taifa tuwe na mikakati ya kujitegemea sio heshima Nchi kama Tanzania tunaishi kwa misaada ili tufikie huku lazima tulipe na kukusanya kodi ambapo bado tunapata shida katika maeneo haya."

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema hayo leo, Jumanne 23/1/2024 Jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa Taasisi ya Usuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (TOST).

View attachment 2880814

Umeme hakuna Kodi itazalishwana nini
 
Back
Top Bottom