Siri ya kujitegemea ni kubana matumizi; kutumia rasilimali kwa kuzingatia vipaumbele vikuu vya maendeleo: vifahili (facilities) na miundombinu ya makazi, biashara, usafirishaji, nishati, maji, afya, ulinzi & usalama, elimu na utafiti.
Taifa linalojiendea tu katika masuala nyeti kama elimu ni taifa mfu mwanzo mwisho.