Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

well done Dr.Mwigulu Nchemba...

umeutendea haki uchumi wa Tanzania kwa wasilisho mujarabu sana leo Bungeni, matumaini ya kukua uchumi wa nchi ni makubwa mno...

nimefurahi sana 🐒

God bless you
God bless RAIS,Dr.Samia Suluhu Hassan
 
Kiuhalisia bajeti haimlengi mwananchi maskini.

Hii nchi ni kama India tu maskin kibao ila mumchi mukubwa na siasa kibao

Ova
 
Nasema haya kwa sbb ndani ya bajeti kuna uchaguzi pesa hii ni harambee ee harambee mama harambee......

Kingine.
Bajeti imeficha mahela ya uendeshaji(admin) kuliko maendeleo(development)


Uhalisia uko hivi mwaka uliopita hakuna indicator hata robo ya mpango bajeti ya 2023 to 2024. Kwa sasa kuna kuhaha kukamilisha hela isije iakenda kuw bakaa
 
Kumekuwa na kelele nyingi juu ya haja ya kupunguza matumizi ya serekali. Ktk hotuba sikusikia popote hatua kama hizo. Bado watawala wetu wanaishi maisha ya kifahari, hata mbwembwe za waziri mwenyewe kwenda kuwasilisha bajeti zinajidhihirisha hilo.
 
Back
Top Bottom