Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Anapiga vijembe tu badala ya kusoma bajeti🚮🚮Ni kama vile hakuniandaa. Hata samua anasikitika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapiga vijembe tu badala ya kusoma bajeti🚮🚮Ni kama vile hakuniandaa. Hata samua anasikitika
Uko na Samia hapo?Ni kama vile hakujiandaa. Hata samia anasikitika
Hajui kusoma itakua, ama pengine alijwa na hofu kwa kujua anatusokota...🤣Ni kama vile hakujiandaa. Hata samia anasikitika
Bingwa wa kuchambaNi kama vile hakujiandaa. Hata samia anasikitika
umekaa hapo mwenye unafuatilia hotuba ili upate mvuto, na wala huna haja na maudhui ya bajeti yenyewe, right?🐒Ni kama vile hakujiandaa. Hata samia anasikitika
Kusoma viziuri ni moja ya kuvutia wasikilizajiumekaa hapo mwenye unafuatilia hotuba ili upate mvuto, na wala huna haja na maudhui ya bajeti yenyewe, right?🐒
Naam.Kusoma viziuri ni moja ya kuvutia wasikilizaji
Mkuu bado tunamsikiliza kwanza, tutaijadili muda bado upo. Kitambaa kilichofunika tablet yake kilitoka shaghalabaghala. Nafikiri tatizo kutetemeka. Presentation ina watu wake. Dr. MPANGO alikuwa smart.Unataka tujadili kibegi badala ya bajeti?
Anaenda hizi tozo sana! Kule Singida watu Wana shida kama zote! Yeye amekalia V8!Mwigulu ni muumini wa kuongeza tozo na kodi mbali mbali
Sikiza tozo za luku,simu na miamala.
Aende Burundi yeye! Hana busara Wala hekima yoyote!Mnaotakiwa mhamie Burundi sikilizeni ya huko Burundi