Nasema haya kwa sbb ndani ya bajeti kuna uchaguzi pesa hii ni harambee ee harambee mama harambee......
Kingine.
Bajeti imeficha mahela ya uendeshaji(admin) kuliko maendeleo(development)
Uhalisia uko hivi mwaka uliopita hakuna indicator hata robo ya mpango bajeti ya 2023 to 2024. Kwa sasa kuna kuhaha kukamilisha hela isije iakenda kuw bakaa
Kumekuwa na kelele nyingi juu ya haja ya kupunguza matumizi ya serekali. Ktk hotuba sikusikia popote hatua kama hizo. Bado watawala wetu wanaishi maisha ya kifahari, hata mbwembwe za waziri mwenyewe kwenda kuwasilisha bajeti zinajidhihirisha hilo.