Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

Yaani mbunge wao ni kama hayajui hayo, kiiimya, mpaka mtu wa kigoma anahoji na anatoa mpaka lists ya majina yao, hatari kweli kweli
 
Kwa hiyo kupotea mikononi mwa Polisi kymeruhusiwa Tanzania?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mwigulu ni sawa na wewe tu no difference natumaini umenisoma
 
Ben Saa 8 na AZORY
Nitajie nchi hata moja ambayo haina watu waliopotea yenye mazingira tata?
Hao uliowataja ni 2 tu, ila nahisi wako zaidi ya hao, ITV wana kipindi maalumu kwa ajili ya watu waliopotea, ina maana wote wale Serkali imewateka au kuwauwa na kuwafunga kwenye viroba?!
Ile miili yote iliokuwa inaelewa kwenye maji, mbona hakuna hata ndugu mmoja aliyeweza kutambuwa zile maiti?!
 
Umetaka List,nimekupa endeleza mjadala.
Unataka nikutajie nchi,
Tanzania ndo raia wanapotea kiutata.
Watu 300 [emoji57]
 
Kwahiyo ukihusika na uhalifu na kukamatwa unatakiwa upotee! Polisi wanatoa hukumu hukohuko vichakani!
 
Mi nilisema hii nchi ina viongozi wa hovyo haijawahi kutokea. Wanaongea mambo utadhani yaani sijui Mungu atuepushie mbali hii laana.
 
Dj sepetu ndio huyu ninayemfahamu aliyekuwa anawek watu kikaangoni, sikujua ka ni mpumbavu namna hii, nilikuwa napenda sana nyuzi zako, sijui umelishwa nini
Mfahamu vizuri, ndiye yeye mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…