Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

Ningependa wale wanaosema wamepotelewa na ndugu au jamaa wawe kwenye orodha rasmi, maana yaonekana wengi wetu tumekuwa wazushi kwa kung'ang'ania watu kuuawa au kupotea, cha kushangaza wale wanaolalamika hatuwaoni kwenye mitandao kusema ndugu yangu, jamaa yangu n.k. haonekani, polisi wameomba wote waliopoteza jamaa zao kuepele taarifa, cha kushangaza ni wachache mno, na sababu zao zinajulikana!
Ni uzuzu uliokomaa na kupindukia kukoleza ya kupotea na kuuawa kwa watu kama wewe binafsi hujapoteza mtu..

LUMUMBA street
Buku 7 kwa siku
Kwani mitandao ya kijamii ni kituo cha police [emoji601] ??
 
Hivi hakuwa na jibu lingine zaidi ya hili?. No Dr. Mnamsingizia hawezi kujichomekea hivi maana haijui kesho yake ikiwa amtegemeaye hayupo.
 
Waziri Mwigulu aeleza kuwa kuna baadhi ya watu waliopotea wanahusika na uhalifu.

Kuna ambao wamekimbia familia zao kwa tuhuma za madawa ya kulevya n.k
Haya yamesemwa na mheshimiwa Mwigulu wakati akijibu hoja mbalimbali za wabunge jijini Dodoma.

Source:Taarifa ya Habari TBC mchana wa leo.
Jaribu kupunguza upumbavu wewe..
Uhai wa Binadamu hauwezi kupotezwa kirahisirahisi kama uyo mjinga Mwigulu anavyosema.
 
Ningependa wale wanaosema wamepotelewa na ndugu au jamaa wawe kwenye orodha rasmi, maana yaonekana wengi wetu tumekuwa wazushi kwa kung'ang'ania watu kuuawa au kupotea, cha kushangaza wale wanaolalamika hatuwaoni kwenye mitandao kusema ndugu yangu, jamaa yangu n.k. haonekani, polisi wameomba wote waliopoteza jamaa zao kuepeleka taarifa, cha kushangaza ni wachache mno, na sababu zao zinajulikana!
Ni uzuzu uliokomaa na kupindukia kukoleza ya kupotea na kuuawa kwa watu kama wewe binafsi hujapoteza mtu..
Matokeo ya haya mmeona Bw. Nondo alivyoponzeka..
Polisi ndo wamepoteza then uende polisi kureport si na wewe utapotezwa?
 
Waziri Mwigulu aeleza kuwa kuna baadhi ya watu waliopotea wanahusika na uhalifu.

Kuna ambao wamekimbia familia zao kwa tuhuma za madawa ya kulevya n.k
Haya yamesemwa na mheshimiwa Mwigulu wakati akijibu hoja mbalimbali za wabunge jijini Dodoma.

Source:Taarifa ya Habari TBC mchana wa leo.
What goes around comes around , siku akija kupotea yeye asije kupiga kelele , Kama mahakama zipo kwanini wao ndio wanatoa hukumu ya kifo ?

Mungu siyo fala .
 
Ningependa wale wanaosema wamepotelewa na ndugu au jamaa wawe kwenye orodha rasmi, maana yaonekana wengi wetu tumekuwa wazushi kwa kung'ang'ania watu kuuawa au kupotea, cha kushangaza wale wanaolalamika hatuwaoni kwenye mitandao kusema ndugu yangu, jamaa yangu n.k. haonekani, polisi wameomba wote waliopoteza jamaa zao kuepeleka taarifa, cha kushangaza ni wachache mno, na sababu zao zinajulikana!
Ni uzuzu uliokomaa na kupindukia kukoleza ya kupotea na kuuawa kwa watu kama wewe binafsi hujapoteza mtu..
Matokeo ya haya mmeona Bw. Nondo alivyoponzeka..
Kwa jinsi ulivyo punguwani unadhani kila mtu yupo kwenye Mtandao Kama wewe! Shame on you! Ndio ninyi mnaoongelea Maendeleo ya nchi mkiwa Masaki na Oyster Bay mkidhani ndiyo Maendeleo yaliyopo Gamboshi ama Ipililo ama Isangabuye!
 
Afya ya akili ya Nnchemba imebaki kwenye mikutano ya uchaguzi kuipinga CHADEMA tuu
 
Kwa vile ana data hizo awataje kwa majina na sababu za kupotea kwao sio blabla tu.
 
Yaani hayo ni majibu ya kipuuzi mno. Ni kawaida yao kutoa majibu mepesi namna hiyo. Hivi Ben Saanane alikuwa mhalifu, Azory Gwanda alikuwa mhalifu? Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kibondo alikuwa mhalifu? Shame on you Mwingulu Nchemba.
 
Baadhi.....% ngapi ya waliopotezwa walikuwa waharifu? PhD holder huyu. Stupid.
Sampuli hio ndo wanaotegemea kutuvusha,kwetu uhai hauna thamani akipotea mtu sawa na Kuku,majibu mepesi,majarada yanafungwa,uchunguzi unaendelea,
 
Back
Top Bottom