Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

Akwilina[emoji196] [emoji83] [emoji379] [emoji61]
Waliohamasisha maandamano wanafuga ndevu zenye mvi ...shame on them..hiyo roho ya binti yule haitowaacha salama
 
Wewe sasa unaelekea kuolewa [emoji196] [emoji126]
Umeshaanza kupenda ndevu nyeupe
 
Angewataja kwa majina angekuwa amekata mzizi wa fitina
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge, ameeleza kuwa baadhi ya watu waliopotea nchini wanahusika na vitendo vya uhalifu

Dkt. Nchemba amefafanua kuwa wapo watu waliokimbia familia zao kutokana na kujihusisha na biashara ya Dawa za Kulevya, ujambazi na mengineyo

Chanzo: Taarifa ya Habari TBC mchana wa leo
Haya majibu ni mepesi sana.Frankly hayafanani kabisa na mtu wa ngazi ya Waziri.
 
Back
Top Bottom