Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

Kwa sababu mnatuhumu kiwepesi wepesi...yaani kila baya mnakuja na hitimisho hata kabla ya vyombo husika havijafanyia kazi.
miaka 3 vybo vinafanyia kazi na havitoi taarifa yoyote??? itakuwa umetumwa
 
Nakubaliana nawe, tena nenda mbele zaidi ya kwamba haya mambo "yasikupe shida" hadi pale watakapo kufuata wewe.
Mwigulu mtu ajabu alisema CDM
wamejilipua mabomu Soweto Ars.
Na yeye alikuwa maeneo ya Ars wala mlipuaji hakukamatwa!!
 
v
Kwa sababu mnatuhumu kiwepesi wepesi...yaani kila baya mnakuja na hitimisho hata kabla ya vyombo husika havijafanyia kazi.
hivyo vyombo husika vitafanyiaje kazi wakati wao wenyewe ndio watuhumiwa namba moja?
 
v
Kwa sababu mnatuhumu kiwepesi wepesi...yaani kila baya mnakuja na hitimisho hata kabla ya vyombo husika havijafanyia kazi.
hivyo vyombo husika vitafanyiaje kazi wakati wao wenyewe ndio watuhumiwa namba moja?
 
Majibu ya waziri Mwigulu ya kijinga kweli kweli. Watu wengine wapi? Kwa nini asijibu kuhusu hao walengwa waliotajwa na Mh. Zitto? Kaishapewa majina na sehemu walizochukuliwa atuambie wako wapi?
 
Siasa ni njia ya watu wasiokuwa na kanuni kuwatawala watu wasiokuwa na kumbukumbu.
 
'Nimeamua kuondoka ccm kujiunga upinzani ili nitubu nisije nikafa nikiwa ccm nikaenda motoni'. By Hayati ......
 
KWAHIYO KAMA NI WAHARIFU WANAPOTEA TU? KWANI WAHARIFU HAKI YAO NI KUPOTEZWA? MAJIBU RAHISI KWA MASWALI MAGUMU!
 
basi wapelekeni mahakamani kwa mashitaka yanayowakabili.
Stupid
 
Serikali inatoa majibu mepesi kama watu wote ni wajinga.

Hivi huyu Mwigulu Mchemba anajiita Daktari wa nini hasa? Katika viongozi wapuuzi, wababaishaji na wanoko ni huyu jamaa...!!!Ndiyo maana Mhe. Lema kamwambia akauze maandazi..!!Unaposema waliopotea ni pamoja na Wahalifu sijui wauza unga na upuuzi gani....!!Hivi KAZI YA JESHI LA POLISI NI NINI HASA? Huyu mwendawazimu anataka kutuaminisha kwamba ukiwa mhalifu, muuzaji wa unga au jambazi LAZIMA UPOTEZWE???Huyu anatakiwa kweli akauze maandazi maana hata Udaktari wake ni wa kuuza maandazi...(Phew!)
 
Nitajie nchi hata moja ambayo haina watu waliopotea yenye mazingira tata?
Hao uliowataja ni 2 tu, ila nahisi wako zaidi ya hao, ITV wana kipindi maalumu kwa ajili ya watu waliopotea, ina maana wote wale Serkali imewateka au kuwauwa na kuwafunga kwenye viroba?!
Ile miili yote iliokuwa inaelewa kwenye maji, mbona hakuna hata ndugu mmoja aliyeweza kutambuwa zile maiti?!

Walitoa nafasi kwa umma kutambua maiti za kwenye viroba - na muda gani ulitolewa kufanya hivyo?!
Tusijitoe ufahamu jamani.
 
Huo ukasikazi umagharibi ni inferiority complex, ni dhana mfu kabisa. Wakanda nyingine tusipobadilika na kuthamini elimu tutaendelea kulalamika. Wenzenu wapeleka watoto shule zikitangazwa kazi wakiomba mia , thelathini wanatoka huko mbategemea nini. Kuanzia sasa nikisikia dhana ya kaskazini naanza kuchambua udhaifu Wa kila Kanda.
Na ndio wezi na mafisadi wakubwa ndani vyombo vya umma
 
Back
Top Bottom