Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
Hawakawii kumuingiza Azory kwenye list ya madawa ya kulevya kama Bashite alivyowatisha kina Soudy Brown.
CCKama ni kweli kaongea hayo maneno, basi ni kauli ya kijinga kabisa kuwahi kutolewa na kiongozi mwenye dhamana kama yake ya uwaziri wa mambo ya ndani, ambaye ni msimamizi wa vyombo ya dola vyenye majukumu ya kusimamia haki na usalama wa wananchi wote, hata wahalifu, ndo maana hairuhusiwi kujichukulia sheria mkononi bila ya mtuhumiwa kufikishwa mahakamani.(due process), waziri wa mambo ya ndani mwenye doctorate, hajui hata maana ya due process? Na akisema wamepotea kwasababu ya kukimbia kwakuwa ni wahalifu, je hiyo ndo inamaanisha kitu gani? Kwamba hawatakiwi kutafutwa au kuhojiwa upoteaji wao au mazingira yake? Kwani nani hafahamu kuwa kumeshawahi kuwepo ubambikizaji wa kesi na ujambazi? Hata Kombe si aliuwawa kwa kuhisiwa kuwa ni jambazi?
Je Mwigulu ana ushahidi kuwa hao watu ni majambazi au wahalifu? Walifikishwa mahakamani au ni watuhumiwa tu?
Ndo huyu mkuu aliyepata doctorate naye hivi majuzi! Mradi tu aitwe doctor halafu apitishwe na mfumo ovu wa ccm kugombea urais. Just cheap cheap tu, uwezo wao mkubwa ni uwizi, halafu kununua tu silaha za kujilinda dhidi ya wananchi ambao wameshawachoka loong time. Na kuongeza kundi la wajinga wenye kufikiri kwa kutumia tumbo or some other things! Pamoja na dola ambayo hadi sasa inaendeshwa kwa misingi ya kikoloni na kifashisti.
[HASHTAG]#hovyokabisa[/HASHTAG]
Kaenda gani sio wezi , anza list ya meremeta, escrow, EPa, credit import support?. Na awamu hii mkiendelea kujenga maghorofa mkascha kupeleka watoto Harvard mtarudi kulalamika.Na ndio wezi na mafisadi wakubwa ndani vyombo vya umma
Awamu ukiiba bora ule sumu. Nyie ni wezi wakuu. Na sasa mmerundikana hukooo kuhujumu nchi ili mpate madaraka muibe vizuriKaenda gani sio wezi , anza list ya meremeta, escrow, EPa, credit import support?. Na awamu hii mkiendelea kujenga maghorofa mkascha kupeleka watoto Harvard mtarudi kulalamika.
Utajua wapi na akili za kushikiwa?Sijui hata umeandika nini
Utajua wapi na akili za kushikiwa?
ListAwamu ukiiba bora ule sumu. Nyie ni wezi wakuu. Na sasa mmerundikana hukooo kuhujumu nchi ili mpate madaraka muibe vizuri
Yaani kama jingalao!!Serikali inatoa majibu mepesi kama watu wote ni wajinga.
Naona tutakutana tu the Hague some dayNingependa wale wanaosema wamepotelewa na ndugu au jamaa wawe kwenye orodha rasmi, maana yaonekana wengi wetu tumekuwa wazushi kwa kung'ang'ania watu kuuawa au kupotea, cha kushangaza wale wanaolalamika hatuwaoni kwenye mitandao kusema ndugu yangu, jamaa yangu n.k. haonekani, polisi wameomba wote waliopoteza jamaa zao kuepeleka taarifa, cha kushangaza ni wachache mno, na sababu zao zinajulikana!
Ni uzuzu uliokomaa na kupindukia kukoleza ya kupotea na kuuawa kwa watu kama wewe binafsi hujapoteza mtu..
Matokeo ya haya mmeona Bw. Nondo alivyoponzeka..
Jibu zuri sana kwani hata mandishi yanasema mjibu mtu upumbavu kutokana na upumbavu wake.wanataka kila wazo wanalolifikilia au kuhisi wao liwe light Kwa manufaa na mtaji WA chama chao chenye uwingi WA kabira furani na kimefanikiwa kuwakamata makasisi WA dhrhebu frank lenye kasisi machachali na ni kabira moja na wahasusi WA chama chao.acheni hizo.Kwa sababu mnatuhumu kiwepesi wepesi...yaani kila baya mnakuja na hitimisho hata kabla ya vyombo husika havijafanyia kazi.
Wajinga sana hawaNingependa wale wanaosema wamepotelewa na ndugu au jamaa wawe kwenye orodha rasmi, maana yaonekana wengi wetu tumekuwa wazushi kwa kung'ang'ania watu kuuawa au kupotea, cha kushangaza wale wanaolalamika hatuwaoni kwenye mitandao kusema ndugu yangu, jamaa yangu n.k. haonekani, polisi wameomba wote waliopoteza jamaa zao kuepeleka taarifa, cha kushangaza ni wachache mno, na sababu zao zinajulikana!
Ni uzuzu uliokomaa na kupindukia kukoleza ya kupotea na kuuawa kwa watu kama wewe binafsi hujapoteza mtu..
Matokeo ya haya mmeona Bw. Nondo alivyoponzeka..
Unajua Mda Mwingine Na question ur credibility ya kufikiria inakaa ni ndgo Sana Ni Lini hyo Serekal Imekuja Na majibu Yalio Jitosheleza Au kutuletea wahusika Wazi tukawafahamu wa matukio Ya utekaj Au Mauaji yanayoendelea NchinKwa sababu mnatuhumu kiwepesi wepesi...yaani kila baya mnakuja na hitimisho hata kabla ya vyombo husika havijafanyia kazi.
Ni list? Mwehu nini? Wangwe alikuwa na document kutaka kuhoji akaishia njiani. Yule aliyepotea alikuwa anajua siri za boss akapotezwa,unaniambia ni list na operation squad yenu unijua?List
Ni list? Mwehu nini? Wangwe alikuwa na document kutaka kuhoji akaishia njiani. Yule aliyepotea alikuwa anajua siri za boss akapotezwa,unaniambia ni list na operation squad yenu unijua?
wakati wakipeleka taarifa zao nao wakipotezwa itakuaje?Ningependa wale wanaosema wamepotelewa na ndugu au jamaa wawe kwenye orodha rasmi, maana yaonekana wengi wetu tumekuwa wazushi kwa kung'ang'ania watu kuuawa au kupotea, cha kushangaza wale wanaolalamika hatuwaoni kwenye mitandao kusema ndugu yangu, jamaa yangu n.k. haonekani, polisi wameomba wote waliopoteza jamaa zao kuepeleka taarifa, cha kushangaza ni wachache mno, na sababu zao zinajulikana!
Ni uzuzu uliokomaa na kupindukia kukoleza ya kupotea na kuuawa kwa watu kama wewe binafsi hujapoteza mtu..
Matokeo ya haya mmeona Bw. Nondo alivyoponzeka..