Huwa mnatia aibu sana mnapojaribu kukimbia hoja kwa style hii ya kujitoa ufahamu.Kama ni kweli kaongea hayo maneno, basi ni kauli ya kijinga kabisa kuwahi kutolewa na kiongozi mwenye dhamana kama yake ya uwaziri wa mambo ya ndani, ambaye ni msimamizi wa vyombo ya dola vyenye majukumu ya kusimamia haki na usalama wa wananchi wote, hata wahalifu, ndo maana hairuhusiwi kujichukulia sheria mkononi bila ya mtuhumiwa kufikishwa mahakamani.(due process), waziri wa mambo ya ndani mwenye doctorate, hajui hata maana ya due process? Na akisema wamepotea kwasababu ya kukimbia kwakuwa ni wahalifu, je hiyo ndo inamaanisha kitu gani? Kwamba hawatakiwi kutafutwa au kuhojiwa upoteaji wao au mazingira yake? Kwani nani hafahamu kuwa kumeshawahi kuwepo ubambikizaji wa kesi na ujambazi? Hata Kombe si aliuwawa kwa kuhisiwa kuwa ni jambazi?
Je Mwigulu ana ushahidi kuwa hao watu ni majambazi au wahalifu? Walifikishwa mahakamani au ni watuhumiwa tu?
Ndo huyu mkuu aliyepata doctorate naye hivi majuzi! Mradi tu aitwe doctor halafu apitishwe na mfumo ovu wa ccm kugombea urais. Just cheap cheap tu, uwezo wao mkubwa ni uwizi, halafu kununua tu silaha za kujilinda dhidi ya wananchi ambao wameshawachoka loong time. Na kuongeza kundi la wajinga wenye kufikiri kwa kutumia tumbo or some other things! Pamoja na dola ambayo hadi sasa inaendeshwa kwa misingi ya kikoloni na kifashisti.
[HASHTAG]#hovyokabisa[/HASHTAG]
Ok, nakubaliana nawe lkn vp kuhusu Mh Lissu kushambuliwa kwenye viwanja vya Bunge nalo mnawahitaji ndugu zake wadhibitishe hilo?? Mnapaswa kuwa na kumbukumbu wakati mwingine. Kila kitu tunafahamu ila pakwenda hatufahamu. Hata ninyi kuna siku wakwenu atapotea halafu tuone nanyi mtakwenda kuripoti wapi.Ningependa wale wanaosema wamepotelewa na ndugu au jamaa wawe kwenye orodha rasmi, maana yaonekana wengi wetu tumekuwa wazushi kwa kung'ang'ania watu kuuawa au kupotea, cha kushangaza wale wanaolalamika hatuwaoni kwenye mitandao kusema ndugu yangu, jamaa yangu n.k. haonekani, polisi wameomba wote waliopoteza jamaa zao kuepeleka taarifa, cha kushangaza ni wachache mno, na sababu zao zinajulikana!
Ni uzuzu uliokomaa na kupindukia kukoleza ya kupotea na kuuawa kwa watu kama wewe binafsi hujapoteza mtu..
Matokeo ya haya mmeona Bw. Nondo alivyoponzeka..
Wewe ndio unakuwa butu kwa kukataa kuelewa neno rahisi la Mwigulu kwamba wapo waliojipoteza baada ya kufanya uhalifu na kuwa kwenye list ya wantedingekuwa na maana kama mh mwigulu angetoa takwimu au idadi ya waharifu wenye kesi mahakamani, au waliofungwa, kutoka kundi la wanaodaiwa kupotea. pungufu ya hapo hoja ya waziri ni butu.
TBC ndio Television ya Taifa huwezi kuikwepa
Umefuatilia na kujua ni ndugu wangapi wameulizia ndugu zao Polisi na wakajibiwa hivyo?Amejuaje kama "walijipoteza" kwa sababu ya uhalifu wakati hawajakamatwa?
Jamaa za hao waliopotelewa na ndugu zao wanapouliza ndugu yao yuko wapi kwa nini hawaambiwi kwamba ndugu yao huyo ni "wanted" ndio maana labda amekimbia?
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge, ameeleza kuwa baadhi ya watu waliopotea nchini wanahusika na vitendo vya uhalifu
Dkt. Nchemba amefafanua kuwa wapo watu waliokimbia familia zao kutokana na kujihusisha na biashara ya Dawa za Kulevya, ujambazi na mengineyo
Chanzo: Taarifa ya Habari TBC mchana wa leo
Serikali inatoa majibu mepesi kama watu wote ni wajinga.
Huyu jamaa ni mpuuzi sana kila kukicha anabadili kauli yake. Kwanza alidai hii miili inayookotwa si ya Watanzania bali ni miili ya watu kutoka nchi za jirani. Sasa tena anakuja na hili la kupotea ni kwamba wanahusika na uhalifu. Atwambie ni kifungu kipi cha sharia za Tanzania ambacho kinaruhusu waliohusika na uhalifu kupotezwa!? Na ni uhalifu upi wa Mtanzania ambao hukumu yake ni kupotezwa na hutolewa na mahakama ipi? Na hizi kesi za hao wahalifu waliopotezwa zilifanywa katika mahakama ipi na hukumu kutolewa lini na jaji/majaji gani?
Huyu jamaa ni mpuuzi sana.
Huyu jamaa ni mpuuzi sana kila kukicha anabadili kauli yake. Kwanza alidai hii miili inayookotwa si ya Watanzania bali ni miili ya watu kutoka nchi za jirani. Sasa tena anakuja na hili la kupotea ni kwamba wanahusika na uhalifu. Atwambie ni kifungu kipi cha sharia za Tanzania ambacho kinaruhusu waliohusika na uhalifu kupotezwa!? Na ni uhalifu upi wa Mtanzania ambao hukumu yake ni kupotezwa na hutolewa na mahakama ipi? Na hizi kesi za hao wahalifu waliopotezwa zilifanywa katika mahakama ipi na hukumu kutolewa lini na jaji/majaji gani?
Huyu jamaa ni mpuuzi sana.
Huyu jamaa ni mpuuzi sana kila kukicha anabadili kauli yake. Kwanza alidai hii miili inayookotwa si ya Watanzania bali ni miili ya watu kutoka nchi za jirani. Sasa tena anakuja na hili la kupotea ni kwamba wanahusika na uhalifu.
Atwambie ni kifungu kipi cha sheria za Tanzania ambacho kinaruhusu waliohusika na uhalifu kupotezwa!? Na ni uhalifu upi wa Mtanzania ambao hukumu yake ni kupotezwa na hutolewa na mahakama ipi? Na hizi kesi za hao wahalifu waliopotezwa zilifanywa katika mahakama ipi na hukumu kutolewa lini na jaji/majaji gani?
Huyu jamaa ni mpuuzi sana.
Iko haja ya mliosoma na hawa watu mtwambie uwezo wao darasani ulikuwaje?Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge, ameeleza kuwa baadhi ya watu waliopotea nchini wanahusika na vitendo vya uhalifu
Dkt. Nchemba amefafanua kuwa wapo watu waliokimbia familia zao kutokana na kujihusisha na biashara ya Dawa za Kulevya, ujambazi na mengineyo
Chanzo: Taarifa ya Habari TBC mchana wa leo
Nitajie nchi hata moja ambayo haina watu waliopotea yenye mazingira tata?
Hao uliowataja ni 2 tu, ila nahisi wako zaidi ya hao, ITV wana kipindi maalumu kwa ajili ya watu waliopotea, ina maana wote wale Serkali imewateka au kuwauwa na kuwafunga kwenye viroba?!
Ile miili yote iliokuwa inaelewa kwenye maji, mbona hakuna hata ndugu mmoja aliyeweza kutambuwa zile maiti?!