Kwani bado linapiga?Pako kimya sana sasa hiviUzuri wake hili halina siasa lenyewe linapiga tu bila kuangalia itikadi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani bado linapiga?Pako kimya sana sasa hiviUzuri wake hili halina siasa lenyewe linapiga tu bila kuangalia itikadi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemenigusa pahali, Mkuu wa nchi huyu kibokoIngekuwa Msoga mngeandamana..
Ni mfumo unaosimamiwa na watu kama PompeoKwani Pompeo ni beberu? Nadhani huwajui mabeberu vyema.
Ubeberu ni mfumo, sio individual
Kama Rais ni taasisi basi kila anapokuwepo ndipo ofisi yake ilipo.
Hata Chooni ?Kama Rais ni taasisi basi kila anapokuwepo ndipo ofisi yake ilipo.
Siyo kweli, huyu mnamshauri vibayaKama Rais ni taasisi basi kila anapokuwepo ndipo ofisi yake ilipo.
Leo huko Iringa kata ya kitwiru naskia wananch wameamka wakakuta kaburi jipya maeneo yao na hakujatokea msiba maeneo ya karibu hali hiyo imezua taharuki raia wamejazana na wanataka pafukuliwe wajue nini kimezikwa hapoKwani bado linapiga?Pako kimya sana sasa hivi
Haa haaaLeo huko Iringa kata ya kitwiru naskia wananch wameamka wakakuta kaburi jipya maeneo yao na hakujatokea msiba maeneo ya karibu hali hiyo imezua taharuki raia wamejazana na wanataka pafukuliwe wajue nini kimezikwa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi ni 2025 katiba iko wazi katika hilo!Unaacha kuwaza mambo ya msingi, unawqza ujinga ujinga tu, huu ni wakati 'sensitive" sana katika utawala wa nchi hii, wewe unawaz rekodi za kijinga. Jadili issue sensitive, je tunaweza kufanya uchaguzi? Tunapesa za kutosha? Mgombe wenu atakuwa nani?
Unafiki ndio siasa yenyewe bwashee.Pole sana Bwashee kwa msiba. Mrudi sasa katika maisha yenu halisi. Maana mliishi kinafiki sana ndani ya hii miaka 6! kuliko wakati mwingine wowote ule.
Unasifia vitu ambavyo havina hata sifa ya kusifiwa.Au kuondoka kwa Jiwe kumewafanya mataga mchanganyikiwe?Kuna rekodi za kisiasa ambazo siyo rahisi kuja kuvunjwa kwahiyo zinakuwa kama urithi kwa wahusika.
Waziri wa Katiba na Sheria Dr Mwigullu Nchemba kwa mara ya kwanza aliapishiwa wilayani Chato.
Naibu waziri wa afya Dr Mollel kwa mara ya kwanza aliapishiwa wilayani Chato.
Hizi ni rekodi njema na za kipekee kwa mawaziri hawa.
Maendeleo hayana vyama!