Tunaomba utawala wa sheria urudi, mifumo ifanye kazi. Wabunge waapishwe bungeni na siyo vichochoroniKuna rekodi za kisiasa ambazo siyo rahisi kuja kuvunjwa kwahiyo zinakuwa kama urithi kwa wahusika.
Waziri wa Katiba na Sheria Dr Mwigullu Nchemba kwa mara ya kwanza aliapishiwa wilayani Chato.
Naibu waziri wa afya Dr Mollel kwa mara ya kwanza aliapishiwa wilayani Chato.
Hizi ni rekodi njema na za kipekee kwa mawaziri hawa.
Maendeleo hayana vyama!