Tunaomba utawala wa sheria urudi, mifumo ifanye kazi. Wabunge waapishwe bungeni na siyo vichochoroniKuna rekodi za kisiasa ambazo siyo rahisi kuja kuvunjwa kwahiyo zinakuwa kama urithi kwa wahusika.
Waziri wa Katiba na Sheria Dr Mwigullu Nchemba kwa mara ya kwanza aliapishiwa wilayani Chato.
Naibu waziri wa afya Dr Mollel kwa mara ya kwanza aliapishiwa wilayani Chato.
Hizi ni rekodi njema na za kipekee kwa mawaziri hawa.
Maendeleo hayana vyama!
Wapi niliposifia au kusoma kwako ni tatizo?Unasifia vitu ambavyo havina hata sifa ya kusifiwa.Au kuondoka kwa Jiwe kumewafanya mataga mchanganyikiwe?
Unazungumzia Halima James Mdee na wenzake?Tunaomba utawala wa sheria urudi, mifumo ifanye kazi. Wabunge waapishwe bungeni na siyo vichochoroni
Kuvunja rekodi sio sifa hiyo?Wapi niliposifia au kusoma kwako ni tatizo?
Hahahaaaa.... Maisha lazima yaendelee mbwiga!Katika watu wapuuzi na wenye vinyuzi vya kipumbavu huwa ni wewe.
Wamechanganyikiwa. Si walikuwa wanatamba kwamba jamaa ni CHUMA hicho!Unasifia vitu ambavyo havina hata sifa ya kusifiwa.Au kuondoka kwa Jiwe kumewafanya mataga mchanganyikiwe?
Soma Katiba ya TanzaniaUnaacha kuwaza mambo ya msingi, unawaza ujinga ujinga tu, huu ni wakati 'sensitive" sana katika utawala wa nchi hii, wewe unawaz rekodi za kijinga. Jadili issue sensitive, je tunaweza kufanya uchaguzi? Tunapesa za kutosha? Mgombe wenu atakuwa nani?
Hivi ni kwanini tulioamua kuvuruga mifumo kwa kumfurahisha tu mtu?Unazungumzia Halima James Mdee na wenzake?
Unaweza kuvunja rekodi na kuitwa " godoro" je hiyo ni sifa?Kuvunja rekodi sio sifa hiyo?
Uchaguzi wa nini? Samia yupo. Soma katiba. Nyie CCM akili hamna na hamjui hata katiba ya nchi mnayoiongoza kwa mabavu.Unaacha kuwaza mambo ya msingi, unawaza ujinga ujinga tu, huu ni wakati 'sensitive" sana katika utawala wa nchi hii, wewe unawaz rekodi za kijinga. Jadili issue sensitive, je tunaweza kufanya uchaguzi? Tunapesa za kutosha? Mgombe wenu atakuwa nani?
Samahani naomba kujua kuna ibara ya katiba nimeisahau ambayo inasema endapo Rais atafariki akiwa madarakani na hajatimiza zaidi ya nusu ya muhula wake kwa maana zaidi ya miaka miwili na nusu basi Makamu wa Rais ataapishwa kama Rais na atapaswa kuitisha uchaguzi mkuu mpya ndani ya kipindi cha miezi 6 kama sikosei.Uchaguzi ni 2025 katiba iko wazi katika hilo!
Kuna rekodi za kisiasa ambazo siyo rahisi kuja kuvunjwa kwahiyo zinakuwa kama urithi kwa wahusika.
Waziri wa Katiba na Sheria Dr Mwigullu Nchemba kwa mara ya kwanza aliapishiwa wilayani Chato.
Naibu waziri wa afya Dr Mollel kwa mara ya kwanza aliapishiwa wilayani Chato.
Hizi ni rekodi njema na za kipekee kwa mawaziri hawa.
Maendeleo hayana vyama!
Hivi ni miaka 6 au 5?Pole sana Bwashee kwa msiba. Mrudi sasa katika maisha yenu halisi. Maana mliishi kinafiki sana ndani ya hii miaka 6! kuliko wakati mwingine wowote ule.
Mataga na matusi ni kama uji na mgonjwa .Akili mbovuš¤£Unaweza kuvunja rekodi na kuitwa " godoro" je hiyo ni sifa?
Wewe ni ke nadhani umenielewa.
Hii ni 2021 Bwashee! Kwenye siasa hata kama umetawala miezi tu, tunachukulia kama ni mwaka vile.Hivi ni miaka 6 au 5?
Kuliko KuPost Pumba ni heri ungepiga kimya.Ingesaidia kuficha uduanzi wako!Unaweza kuvunja rekodi na kuitwa " godoro" je hiyo ni sifa?i
Wewe ni ke nadhani umenielewa.
Haya ndio mambo ya msingi kujadiliUchaguzi ni 2025 katiba iko wazi katika hilo!