Waziri Mwigulu, kwanini Serikali ikope Trilion 6 kufadhili budget ilhali DP World wapo?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti katika Nchi yetu.

Tulipokuwa tukichangia thread iliyosema :

"Bandari, ardhi na maliasili zetu ni Mali ya URITHI, hazitauzwa, kukodishwa Wala kubinafsishwa Kwa wageni Kataa wahuni"- Rabbon,

Member mmoja makini wa JF aitwaye Nyumisi, aliibua HOJA kuhusu budget ijayo,

Alihoji kuwa, Serikali imepanga kukopa Trilion 6 kufadhili budget ijayo wakati tayari DP World wapo bandarini? Tuliambiwa kuwa ujio wa DP World utaondoa utegemezi wa kibudget wa Serikali sababu wataongeza mapato Kwa ukusanyaji wao wa mapato Bora,kuwa watawekeza pesa nyingi.

Waziri Mbarawa, na watetezi wa Kampuni hiyo ya DP World,mlidai Kampuni hiyo ikipewa mkataba, nchi itapata pesa nyingi, tuambieni wamewekeza Bei Gani Hadi sasa na kwanini tukope kufadhili budget?

"Mwenye nyumba akishasaini mkataba na mpangaji, anao uwezo wa kuomba advance na akapewa", kwanini Serikali ikope Trilion 6 ilhali DP world wapo?

Nini Hasa mchango wa Kampuni hiyo ya kigeni katika mapato ya Serikali ikiwa tutaendelea kukopa na tusijue tunapata nini kutokana na uwepo wao bandarini?

Kwanini DP World wasifadhili budget yetu?

Ndo hapo tutajua ikiwa, tumewakodishia bandari au ndo IMEUZWA mazima, Wachache wametia ndani Chao!!😳😳

Karibuni🙏
 
Tuambiwe DP World wamewekeza Bei Gani katika mikataba ya HGA waliyosaini?
 
DP World na watanzania wenzetu, hao DP World wametumika tu kama bortion ndio maana hata mkatabww umesainiwa na viongozi wa Tanzania tu na sio wa Dubai. Hawa watanzania wenzetu nyuma ya pazia hawana hizi 6T Bali wanategemea kuchuma hapo hapo bandarini.
 
Salaam, Shalom!!

Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti katika Nchi yetu.

Tulipokuwa tukichangia thread iliyosema :

"Bandari, ardhi na maliasili zetu ni Mali ya URITHI, hazitauzwa, kukodishwa Wala kubinafsishwa Kwa wageni"- Rabbon,

Member mmoja makini wa JF aitwaye Nyumisi, aliibua HOJA kuhusu budget ijayo,

Alihoji kuwa, Serikali imepanga kukopa Trilion 6 kufadhili budget ijayo wakati tayari DP World wapo bandarini? Tuliambiwa kuwa ujio wa DP World utaondoa utegemezi wa kibudget wa Serikali sababu wataongeza mapato Kwa ukusanyaji wao wa mapato Bora,kuwa watawekeza pesa nyingi.

Waziri Mbarawa, na watetezi wa Kampuni hiyo ya DP World,mlidai Kampuni hiyo ikipewa mkataba, nchi itapata pesa nyingi, tuambieni wamewekeza Bei Gani Hadi sasa na kwanini tukope kufadhili budget?

Nini Hasa mchango wa Kampuni hiyo ya kigeni katika mapato ya Serikali ikiwa tutaendelea kukopa na tusijue tunapata nini kutokana na uwepo wao bandarini?

Karibuni🙏
Usishangae kuambiwa zinatumika kuwaandalia miundombinu hao waarabu, bandari yetu, fedha zetu na kila kitu chetu
 
Salaam, Shalom!!

Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti katika Nchi yetu.

Tulipokuwa tukichangia thread iliyosema :

"Bandari, ardhi na maliasili zetu ni Mali ya URITHI, hazitauzwa, kukodishwa Wala kubinafsishwa Kwa wageni Kataa wahuni"- Rabbon,

Member mmoja makini wa JF aitwaye Nyumisi, aliibua HOJA kuhusu budget ijayo,

Alihoji kuwa, Serikali imepanga kukopa Trilion 6 kufadhili budget ijayo wakati tayari DP World wapo bandarini? Tuliambiwa kuwa ujio wa DP World utaondoa utegemezi wa kibudget wa Serikali sababu wataongeza mapato Kwa ukusanyaji wao wa mapato Bora,kuwa watawekeza pesa nyingi.

Waziri Mbarawa, na watetezi wa Kampuni hiyo ya DP World,mlidai Kampuni hiyo ikipewa mkataba, nchi itapata pesa nyingi, tuambieni wamewekeza Bei Gani Hadi sasa na kwanini tukope kufadhili budget?

Mwenye nyumba akishasaini mkataba na mpangaji, anao uwezo wa kuomba advance na akapewa, kwanini Serikali ikope Trilion 6 ilhali DP world wapo?

Nini Hasa mchango wa Kampuni hiyo ya kigeni katika mapato ya Serikali ikiwa tutaendelea kukopa na tusijue tunapata nini kutokana na uwepo wao bandarini?

Karibuni🙏
Tuliambiwa tutapata trion 26 waanze watupe 6 hizo 20 watakuwa wanatupa mdogo mdogo🏃🏃
 
Ni Kweli kabisa,

Mwenye nyumba ukipata mpangaji, unaweza vuta advance Ili ukamilishie nyumba Ili mpangaji ahamie, mtakatana hata mkataba ujao.

Ndo tujue ikiwa DP World ni wazungu, waarabu au ni wakwere na wangazija wenzetu!!!
 
Kati ya trilioni 26,serikali siichukue hata 10 kwanza?
Jamani hivi serikali inatuchukuliaje sisi?
Wanatuona mazombie, kwamba hatuna uwezo wa kuhoji chochote!!

Tuwaonyeshe kuwa tuna utashi!!

Nyumba zetu uswahilini, wenye nyumba huja kuomba advance na Huwa tunawapa, tunakatana mkataba ujao!!

Serikali why ishindwe?
 
Back
Top Bottom