Waziri Mwigulu, kwanini Serikali ikope Trilion 6 kufadhili budget ilhali DP World wapo?

Tuambie Mwigulu, DP world wanalipa Serikali mapato kiasi Gani?
 
Salaam, Shalom!!

Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti katika Nchi yetu.

Tulipokuwa tukichangia thread iliyosema :

"Bandari, ardhi na maliasili zetu ni Mali ya URITHI, hazitauzwa, kukodishwa Wala kubinafsishwa Kwa wageni Kataa wahuni"- Rabbon,

Member mmoja makini wa JF aitwaye Nyumisi, aliibua HOJA kuhusu budget ijayo,

Alihoji kuwa, Serikali imepanga kukopa Trilion 6 kufadhili budget ijayo wakati tayari DP World wapo bandarini? Tuliambiwa kuwa ujio wa DP World utaondoa utegemezi wa kibudget wa Serikali sababu wataongeza mapato Kwa ukusanyaji wao wa mapato Bora,kuwa watawekeza pesa nyingi.

Waziri Mbarawa, na watetezi wa Kampuni hiyo ya DP World,mlidai Kampuni hiyo ikipewa mkataba, nchi itapata pesa nyingi, tuambieni wamewekeza Bei Gani Hadi sasa na kwanini tukope kufadhili budget?

"Mwenye nyumba akishasaini mkataba na mpangaji, anao uwezo wa kuomba advance na akapewa", kwanini Serikali ikope Trilion 6 ilhali DP world wapo?

Nini Hasa mchango wa Kampuni hiyo ya kigeni katika mapato ya Serikali ikiwa tutaendelea kukopa na tusijue tunapata nini kutokana na uwepo wao bandarini?

Kwanini DP World wasifadhili budget yetu?

Ndo hapo tutajua ikiwa, tumewakodishia bandari au ndo IMEUZWA mazima, Wachache wametia ndani Chao!!😳😳

Karibuni🙏
Dp world wameanza ku return faida ?
 
Asante kwa kuhoji sasa tuletee pendekezo namna gani kama ungekuwa waziri ungeweza kutupatia trillion 6 Mkuu.
Ningedai advance Kutoka DP World, tutakatana kwenye hesabu.
 
Asante kwa kuhoji sasa tuletee pendekezo namna gani kama ungekuwa waziri ungeweza kutupatia trillion 6 Mkuu.
We bumunda kwanza ushamjibu hoja ake au umekimbilia kuanika ujinga wako??
 
Kati ya trilioni 26,serikali siichukue hata 10 kwanza?
Jamani hivi serikali inatuchukuliaje sisi?
Na hapo serikali ilishachukua mkopo world bank kwa ajili ya bandari kisha hapo hapo waka muuzia Dp World???
 
Salaam, Shalom!!

Wakati tukiendelea na maigizo ya kijana wa chama Fulani, Wananchi makini, wazalendo tusiokubali KUCHUKULIWA na upepo wa maigizo tumeendelea kuangalia Kwa makini ISSUES nyeti katika Nchi yetu.

Tulipokuwa tukichangia thread iliyosema :

"Bandari, ardhi na maliasili zetu ni Mali ya URITHI, hazitauzwa, kukodishwa Wala kubinafsishwa Kwa wageni Kataa wahuni"- Rabbon,

Member mmoja makini wa JF aitwaye Nyumisi, aliibua HOJA kuhusu budget ijayo,

Alihoji kuwa, Serikali imepanga kukopa Trilion 6 kufadhili budget ijayo wakati tayari DP World wapo bandarini? Tuliambiwa kuwa ujio wa DP World utaondoa utegemezi wa kibudget wa Serikali sababu wataongeza mapato Kwa ukusanyaji wao wa mapato Bora,kuwa watawekeza pesa nyingi.

Waziri Mbarawa, na watetezi wa Kampuni hiyo ya DP World,mlidai Kampuni hiyo ikipewa mkataba, nchi itapata pesa nyingi, tuambieni wamewekeza Bei Gani Hadi sasa na kwanini tukope kufadhili budget?

"Mwenye nyumba akishasaini mkataba na mpangaji, anao uwezo wa kuomba advance na akapewa", kwanini Serikali ikope Trilion 6 ilhali DP world wapo?

Nini Hasa mchango wa Kampuni hiyo ya kigeni katika mapato ya Serikali ikiwa tutaendelea kukopa na tusijue tunapata nini kutokana na uwepo wao bandarini?

Kwanini DP World wasifadhili budget yetu?

Ndo hapo tutajua ikiwa, tumewakodishia bandari au ndo IMEUZWA mazima, Wachache wametia ndani Chao!!😳😳

Karibuni🙏
Ilidhaniwa na wenye akili timamu kwamba!

"Wakati jwtz ikilinda mipaka bas,wanasiasa watalinda rasilimali zetu"

Kwasasa jwtz wapo bize na mipaka huku wanasiasa wakiwa bize kupiga mnada rasilimali zetu!

Ni kana kwamba hakuna anaejali kabisa,hakuna anaeshtuka kwenye haya hata majeshi yanaona kabisa dhahiri shahiri lakini yamekaa kimya eti yanalinda katiba ili wezi waendeleee kuiba Kwa ridhaa ya katiba iliyopo!!

Ningekua mkuu wa majeshi nisingekubali vijana walinde mipaka wanasiasa waibe ndani ya mipaka Kwa mikataba mibovu!
 
Habari tunazo, na tulipiga sana kelele, yule mama akaweka pamba masikioni,

Halafu Kuna watu wanasema " Twende na Mama" sasa sijui twende naye wapi!!
Sa hao twende na mama, mama anamaono, rais aheshimiwe ndo wengi kuliko tuliopinga
 
Si Kweli,

Hao wachumia tumbo ni Wachache sana, wanapata backup ya Dola,

Bila Dola, ni kundi dogo sana, ukilinganisha na umma wa Watanzania.

Ni muda wetu kuamka na kudai HAKI zetu 2024&2025.
 
Binafsi najitahidi saana kuamsha jamii lakini nnayokutana nayo nabaki kutubu maana nahisi kukufuru watanzania wengi hawajielewi na ni wabinafsi
 
Back
Top Bottom