Waziri Mwigulu, kwanini Serikali ikope Trilion 6 kufadhili budget ilhali DP World wapo?

Huu uzi mbona wale jamaa fulani hawausogelei au ngumu kumeza

Ova
Kwani wewe mrangi hujawahi kuombwa advance na mwenye nyumba ulipopanga?

Iweje Serikali ishindwe?

Au wameshapewa, wamegawana?
 
Wateteaji na machawa nao wanakosa cha kujibu.
 
Watupe advance payment ya trilioni 6 ili madelu asiende kukopa kufidia bajeti, tangu lini mahari ikatolewa bila kishika uchumba na mlituambia wenyewe mwarabu ana mpunga.
 
Watwambie ni Wamekodisha bandari au wamekwisha ipiga Bei na kupokea malipo gizani sisi hatujui?
 
$250Million
Wakati sisi toka magufuli aingie umetumia 4 trillion kuboresha bandari.. Ujue Waafrika tuna ujinga mkubwa sana... Yani ujenge nyumba milioni 100 uuze kwa milioni 10
 
Watwambie ni Wamekodisha bandari au wamekwisha ipiga Bei na kupokea malipo gizani sisi hatujui?
Isijekuwa mambo ya KADCO kama mdau alivyosema hapo juu, nchi ngumu hii......vijana hadi sasa wanasotea mikopo ya chuo kikuu ili hali mwarabu anaweza kutupa trilioni 6 za kishika uchumba tukasomesha vijana wote vyuoni.
 
Wakati sisi toka magufuli aingie umetumia 4 trillion kuboresha bandari.. Ujue Waafrika tuna ujinga mkubwa sana... Yani ujenge nyumba milioni 100 uuze kwa milioni 10
Imegaiwa Bure, ingekuwa tumewakodishia, tungewaambia watupatie Tri 6 , Kisha tutakatana kidogo kidogo wakati makusanyo endelevu yakiendelea.
 
Isijekuwa mambo ya KADCO kama mdau alivyosema hapo juu, nchi ngumu hii......vijana hadi sasa wanasotea mikopo ya chuo kikuu ili hali mwarabu anaweza kutupa trilioni 6 za kishika uchumba tukasomesha vijana wote vyuoni.
Nchi ina wenyewe
 
Eti, ni kosa mwenye nyumba kuvuta advance Kwa mpangaji?

Kwann Mwigulu hafanyi hivyo kufidia upungufu wa kibudget, Tupewe Trilion 6 pekee?
bajeti ya Cabinet nzima kwa mwaka mzima haifiki 10 billion, sasa 10 billion out of 6 Trillion ni kitu gani ?

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Usijitoe ufahamu Pohamba,

Tunachotaka, DP World world watoe Trilion 6 Kwa Serikali yetu kufidia budget Ili tusikope.

Tutakatana mbele Kwa mbele.
 
Back
Top Bottom