Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

CCM haina ridhaa ya wananchi, mwenyekwenda aliiba kura kihuni,akapitisha watu wasiokuwa wema ,wahuni,wapumbavu waliofuata maslahi yao binafsi ya kimwili na kimoyo.huwezi kuangoze Kodi kubwa kiasi hicho kwenye laina mafukara.
 
Tuchangisheni tu lakini hakikisheni mahesabu yake yanakaa vizuri maana kwakweli hatutaelewana.
 
Mwanzo nilidhani mama anachomekewa tu ili kumgombanisha na wananchi lakini naona huu mpango ulitoka kwa mama mwenyewe kwa kutumia kinywa cha zungu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tuchangisheni tu lakini hakikisheni mahesabu yake yanakaa vizuri maana kwakweli hatutaelewana.
Mwananchi unajua vema kuwa hizo hela watazitafuna. Wala usisubirie kuziona zaidi ya kuwaona hao akina mwigulu mbele ya camera wakiwa wanatoa data za uongo kubariki kilichofanyika.
Hakuna uwajibikaji ndio maana wanajifanyia wananvyotaka.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mwanzo nilidhani mama anachomekewa tu ili kumgombanisha na wananchi lakini naona huu mpango ulitoka kwa mama mwenyewe kwa kutumia kinywa cha zungu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Zungu alipendekeza Bungeni na likabarikiwa,

Hakuna kuchomekewa.

Na kwanini wamchomekee while she is an experienced politician and administrator??
 
Na tusitegemee kama tutasogea kwa akili kama za huyo waziri
 
Solidarity fund nyenyenye! Kwanini isingeanzia kwenye matumizi ya kifahari ya wanasiasa!!??
Naamini Mshikamano ni hiyari!
Na ni hiyari vile vile kufanya miamala kwa njia ya simu!

#SikoTayariKuibiwa
 
Narudia not in my country. Not in any country. Huu ni ulaji wa mtu. Wewe unaumia unapata tabu kumtumia mama ako kijijini ila kuna kijamaa ndo kinapakua pesa zako.
 
HIvi kuja sababu ya kuwa na waziri ambaye kuna wakati anakuwa mpumbaf halafu baadaye anakuwa sawa? Huyu miaka yote hakuna alikoshindwa kuonesha akili ndogo. Yaani alichota mawazo ya Zungu wa Kariakoo! Zungu yule tunayemfahamu, eti alisikia ethiopia!
 
..wewe unaonyesha kabisa kua utakua una-KWEPA kodi kwa kutokutuma pesa kwa simu au hata kupunguza na kuipa serekali hasara , sheria zipo zitafanya kazi ….[emoji53]
 
Zumbukuku Hilo.
Mafuta Zambia yako Bei chini kuliko tunduma. Amuulize Silinde ataambiwa.
Awaulize Warombo kwanini wananunua mafuta Kenya?
 
..wewe unaonyesha kabisa kua utakua una-KWEPA kodi kwa kutokutuma pesa kwa simu au hata kupunguza na kuipa serekali hasara , sheria zipo zitafanya kazi ….[emoji53]
Foolish! Makato ya miamala ni kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…