Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umepaniki kupita kiasi,embu punguza jaziba.Hakuna kodi kokote duniani inayo kusanywa kwa makubaliano ya wanachi wote.Yaonekana ni kazi ngumu sana kumpata mtu anayestahili kuwa waziri. Hayo ndo maelezo ya mtu anayeitwa waziri? Kama ni mapungufu ya akili, hii inazidi kipimo. Ni aibu kwa waziri kuwaambia wananchi wake kwamba sasa anakusanya solidarity bila wao kupenda.
Hadithi za watoto, maji, barabara, na upuuzi mwingine zitakwenda kwa solidarity za aina hii kweli? Mara reli, REA, ..... Pumbaf!
Mbona umenitoa?😢 I was waiting for youKuna vitu huwa wanashauriwa na kuzimu moja kwa moja
Mkuu umepaniki kupita kiasi,embu punguza jaziba.Hakuna kodi kokote duniani inayo kusanywa kwa makubaliano ya wanachi wote.
Vinawezekana ukichochea uzalishaji na sio kupora watu.Kodi ni lzm iwe ya kulipika na sio kukomoaKodi kwenye miamala ya simu inaweza kua fursa kubwa kwa uwakala wa bank ambapo makato haya hayapo!, na pengine pia ni plani ya serekali kurudisha pesa nyingi kwenye ‘mfumo rasmi’ Ingawa
Ingependeza kama walau hadi 50,000 isingehusishwa, kelele zingepungua lkn ingekua msaada mkubwa kwa watu wa viwango fulani maeneo ya vijijini.[emoji846]
Lkn kwa ujumla kodi hii ni NZURI NA NI HALALI. Nikiangalia umeme wa REA vijijini natamani kuona pia barabara za lami , suluhisho la Bima ya afya nk
Bora amefafanua Ili kulia Lia hovyo kupungue.Solidarity Fund?
Ukishiba na kusaza...
Futilieni mbali sheria ya FAO LA KUJITOA NSSF
We kenge acha kuropoka upumbavu hapa,mikopo na uporaji ndio vilikuwa vinaendesha nchi .JPM ametekeleza miradi mingi kwa pesa za ndani kutokana na makusanyo ya kodi, ni miradi michache tu ambayo alilazimika kukopa pesa lakini tuliona matokeo sahihi ya mikopo hiyo.
Kumbuka miradi Kama SGR, Bwawa la umeme na mradi wa barabara wa njia nane kutoka kimara hadi kibaha aliamua kuanza kujenga kwa fedha za ndani baada ya kukosa mkopo, na miradi mingine mingi alitumia hela za ndani.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Na ndio maana Mwendazake alikuwa anayadanganya yanashangilia tuu..kwa uchumi gani aliojenga mwendazake hadi apate pesa ya ndani?Ubaya watanzania huwa hamsomi mnabaki kuokoteza taarifa za kwenye vijiwe ,
Kama hiyo miradi alikuwa anatumia pesa za ndani kwanini Deni la taifa katika awamu ya 5 lilipanda zaidi ya awamu zote ?
.........
Serikali ya Awamu ya Tano imefikisha Deni la Nje USD 22 bilioni ndani ya miaka 4 tangu iingie madarakani. Serikali ya Rais John Magufuli katika miaka 4 imeliingiza Taifa katika Deni la USD 7 bilioni sawasawa na Deni lote lililokopwa katika miaka 10 ya Rais Jakaya Kikwete
Deni lote la Taifa ( Ndani na Nje ) limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 43 mwaka 2015 Wakati Rais @MagufuliJP anaingia madarakani mpaka shilingi Trilioni 65 mwezi Julai 2019! Ongezeko la Deni kiasi cha shilingi Trilioni 22, sawa na kukopa 5.5tr/mwaka, 0.5tr/mwezi, 17bn/SikuView attachment 1855934
Tofautisha kuwabana watu walipe kodi na kupora pesa kwenye account,ndio maana wengi walikimbia na uchumi ulianguka mkaishia kulishwa propaganda.Mkuu ni kweli JPM hakuajili sana na kuongeza mshahara lakini alikuwa na lengo la kujenga nchi kwanza, alijua namna ya kuwabana wafanyabiashara wakubwa ili Kodi ipatikane na amefanya mengi kwa kutumia Kodi hizo Kama ujenzi wa barabara, madaraja/flyovers, miundo mbinu ya Afya, miradi ya maji, Usambazaji umeme vijijini na miradi mikubwa kabisa SGR na Bwawa la umeme la Rufiji.
Yote hayo yamefanyika bila watu maskini kuumizwa katika kulipishwa Kodi Kama inavyotokea Sasa hivi.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Sasa huwezi fuatilia malimbikizo unayoita ya nyuma hakuna pesa ilikuwa iddle pesa ilikuwa committed tayari kwa hiyo hicho kitendo autotically ni uporaji maana walishaopewa clearance afu kusema hawakulipa si kweli bali walilipa labda useme pungufu..Kama hawaKulipa Rais angeendesha vipi Nchi?Wewe ndo huelewi mambo, toka awamu ya nne wafanyabiashara wakubwa walikuwa hawalipi kodi halali, watumishi wa TRA ndo walikuwa wanachukua % kwa wafanyabiashara hawa na kuwaandikia Tax clearance. Mzigo wa Kodi uliachwa kwa watumishi wa serikali au private (PAYE) pamoja na wafanyabiashara wadogo wadogo.
JPM alipoingia kwanza alitaka wafanyabiashara wakubwa wallipe Kodi na pia alifuatilia malimbikizo ya Kodi za nyuma ambazo wafanyabiashara hawa walikwepa kipindi cha nyuma.
Matokeo ya malimbikizo hayo ndo yalipelekea baadhi ya akaunti kushikiliwa na badhi ya biashara kufungwa. Kwa hiyo siyo kwamba wafanyabiashara walionewa au kubambikiziwa madeni na kuporwa pesa zao, hayo yalikuwa ni malimbikizo ya Kodi walizotakiwa kulipa kipindi cha nyuma.
Kinachoendelea awamu hii kwa kulegeza kamba kwa wafanyabiashara wakubwa matokeo yake itasababisha mzigo wa Kodi urudi kwa wafanyabiashara wadogo na wananchi maskini. Awamu hii ni awamu ya wafanyabiashara wakubwa kuneemeka na masikini kuwa na wakati mgumu zaidi.
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Natamani huyu mpumbavu nimshushie bonge la tusi ila sikufinzwa hivyo"Mtu anayetuma 1000 hadi 2000 anakatwa Tsh.10, anayetuma 20,000 hadi 30,000 anakatwa 960, Mil. 1 hadi Mil. 3 ni 9000 na Mil 3 na kuendelea ni 10,000, kwa anaetuma 100,000 hadi 200,000 anakatwa 2500, kama unaweza kutuma 10,000 kwanini usichangie shughuli za maendeleo?”
"Mimi naunga mkono dira ya Rais ya kutaka maji yapatikane kila kijiji, sasa tunafanyaje? tukasema tuchangishane, hivi unaona tunaweza kupoteza maisha ya Mtoto sababu ya maji, kisa unalia unakatwa Tsh.5?, mbona milio ya simu tunaweka na unakatwa Tsh. 100?"
"Kuna Shule zinakusanya watoto mpaka 1500 au 1000 na Shule haina maji wanaambiwa waende Shule na kidumu cha maji, sasa tunafanyaje ili maji yapatikane? ndio maana kuna uwepo wa kukatwa Tsh. tano kila unapotuma hela kwa ajili ya huu mfuko wa mshikamano"
"Watu wanalalamika kuhusu hela za miamala, hii ni solidarity fund, tuna mambo ambayo tunakubaliana hayapaswi kuendelea mfano ubovu wa Barabara vijijini, kama Taifa tuongeze Tsh.100 katika mafuta ili kila fedha itakayoongezeka iende kuleta maendeleo"
"Kwenye chungu, ni lazima bajeti, fedha zitatoka wapi ni lazima tutoe kodi, mwaka huu tumeleta kodi ya miamala, ni vizuri sana mjue hili la kwenye miamala sio tu kodi, hili tunatunisha mfuko, ni solidarity fund, huu ni mfuko wa mshikamano wa Watanzania"
"Akaunti zilifungwa kipindi kile kwasababu ya masuala ya kikodi na Wafanyabiashara wanarudishiwa fedha zao kwasababu akaunti imelipa kodi au hesabu zake zilipigwa vibaya kwahiyo kuna fedha ambayo haikuwa kodi inarudishwa"
"Kenya, Uganda, Malawi, Rwanda, Msumbiji mafuta yako bei juu kuliko sisi, ulishaona hizo Nchi waje kununua mafuta Tanzania?, nitoe rai Watanzania wawe Wazalendo kwasababu kwenye Nchi zote zinazotuzunguka Tanzania ndio Nchi inayouza mafuta bei ya chini"
Chanzo: CLOUDS 360
CCM haitoanguka kwa kuzungumza mitandani hivi bila action yoyote kutoka kwa wananchiAmekubaliana na nani hilo jambo? Wananchi walikubali? Ipo siku CCM itaanguka.
Fala mwingine huyo"Mtu anayetuma 1000 hadi 2000 anakatwa Tsh.10, anayetuma 20,000 hadi 30,000 anakatwa 960, Mil. 1 hadi Mil. 3 ni 9000 na Mil 3 na kuendelea ni 10,000, kwa anaetuma 100,000 hadi 200,000 anakatwa 2500, kama unaweza kutuma 10,000 kwanini usichangie shughuli za maendeleo?”
"Mimi naunga mkono dira ya Rais ya kutaka maji yapatikane kila kijiji, sasa tunafanyaje? tukasema tuchangishane, hivi unaona tunaweza kupoteza maisha ya Mtoto sababu ya maji, kisa unalia unakatwa Tsh.5?, mbona milio ya simu tunaweka na unakatwa Tsh. 100?"
"Kuna Shule zinakusanya watoto mpaka 1500 au 1000 na Shule haina maji wanaambiwa waende Shule na kidumu cha maji, sasa tunafanyaje ili maji yapatikane? ndio maana kuna uwepo wa kukatwa Tsh. tano kila unapotuma hela kwa ajili ya huu mfuko wa mshikamano"
"Watu wanalalamika kuhusu hela za miamala, hii ni solidarity fund, tuna mambo ambayo tunakubaliana hayapaswi kuendelea mfano ubovu wa Barabara vijijini, kama Taifa tuongeze Tsh.100 katika mafuta ili kila fedha itakayoongezeka iende kuleta maendeleo"
"Kwenye chungu, ni lazima bajeti, fedha zitatoka wapi ni lazima tutoe kodi, mwaka huu tumeleta kodi ya miamala, ni vizuri sana mjue hili la kwenye miamala sio tu kodi, hili tunatunisha mfuko, ni solidarity fund, huu ni mfuko wa mshikamano wa Watanzania"
"Akaunti zilifungwa kipindi kile kwasababu ya masuala ya kikodi na Wafanyabiashara wanarudishiwa fedha zao kwasababu akaunti imelipa kodi au hesabu zake zilipigwa vibaya kwahiyo kuna fedha ambayo haikuwa kodi inarudishwa"
"Kenya, Uganda, Malawi, Rwanda, Msumbiji mafuta yako bei juu kuliko sisi, ulishaona hizo Nchi waje kununua mafuta Tanzania?, nitoe rai Watanzania wawe Wazalendo kwasababu kwenye Nchi zote zinazotuzunguka Tanzania ndio Nchi inayouza mafuta bei ya chini"
Chanzo: CLOUDS 360
Lipa kodi mkuu bibi yako apate maji kijijni 😆😆😆Natamani huyu mpumbavu nimshushie bonge la tusi ila sikufinzwa hivyo
Hakuna maendeleo yasiyoumiza lipa kodi 😆😆Fala mwingine huyo View attachment 1856552
Panya kabisa huyu, hio skafu lake sijui anafutia manii kimtu cha ajabu"Mtu anayetuma 1000 hadi 2000 anakatwa Tsh.10, anayetuma 20,000 hadi 30,000 anakatwa 960, Mil. 1 hadi Mil. 3 ni 9000 na Mil 3 na kuendelea ni 10,000, kwa anaetuma 100,000 hadi 200,000 anakatwa 2500, kama unaweza kutuma 10,000 kwanini usichangie shughuli za maendeleo?”
"Mimi naunga mkono dira ya Rais ya kutaka maji yapatikane kila kijiji, sasa tunafanyaje? tukasema tuchangishane, hivi unaona tunaweza kupoteza maisha ya Mtoto sababu ya maji, kisa unalia unakatwa Tsh.5?, mbona milio ya simu tunaweka na unakatwa Tsh. 100?"
"Kuna Shule zinakusanya watoto mpaka 1500 au 1000 na Shule haina maji wanaambiwa waende Shule na kidumu cha maji, sasa tunafanyaje ili maji yapatikane? ndio maana kuna uwepo wa kukatwa Tsh. tano kila unapotuma hela kwa ajili ya huu mfuko wa mshikamano"
"Watu wanalalamika kuhusu hela za miamala, hii ni solidarity fund, tuna mambo ambayo tunakubaliana hayapaswi kuendelea mfano ubovu wa Barabara vijijini, kama Taifa tuongeze Tsh.100 katika mafuta ili kila fedha itakayoongezeka iende kuleta maendeleo"
"Kwenye chungu, ni lazima bajeti, fedha zitatoka wapi ni lazima tutoe kodi, mwaka huu tumeleta kodi ya miamala, ni vizuri sana mjue hili la kwenye miamala sio tu kodi, hili tunatunisha mfuko, ni solidarity fund, huu ni mfuko wa mshikamano wa Watanzania"
"Akaunti zilifungwa kipindi kile kwasababu ya masuala ya kikodi na Wafanyabiashara wanarudishiwa fedha zao kwasababu akaunti imelipa kodi au hesabu zake zilipigwa vibaya kwahiyo kuna fedha ambayo haikuwa kodi inarudishwa"
"Kenya, Uganda, Malawi, Rwanda, Msumbiji mafuta yako bei juu kuliko sisi, ulishaona hizo Nchi waje kununua mafuta Tanzania?, nitoe rai Watanzania wawe Wazalendo kwasababu kwenye Nchi zote zinazotuzunguka Tanzania ndio Nchi inayouza mafuta bei ya chini"
Chanzo: CLOUDS 360
Watanzania ujinga ndio mtaji wa wanasiasa..Na ndio maana Mwendazake alikuwa anayadanganya yanashangilia tuu..kwa uchumi gani aliojenga mwendazake hadi apate pesa ya ndani?
Walipe kodi Makato sasa hivi ndio mapato ya ndani hayo sasa ya kujivunia sio propaganda uchwara