CHARLES2016
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 376
- 435
Hivi miaka kumi ya Jakaya kikwete na miaka mitano ya JPM ni awamu ipi imetekeleza miradi mingi na mikubwa??!!Ubaya watanzania huwa hamsomi mnabaki kuokoteza taarifa za kwenye vijiwe ,
Kama hiyo miradi alikuwa anatumia pesa za ndani kwanini Deni la taifa katika awamu ya 5 lilipanda zaidi ya awamu zote ?
.........
Serikali ya Awamu ya Tano imefikisha Deni la Nje USD 22 bilioni ndani ya miaka 4 tangu iingie madarakani. Serikali ya Rais John Magufuli katika miaka 4 imeliingiza Taifa katika Deni la USD 7 bilioni sawasawa na Deni lote lililokopwa katika miaka 10 ya Rais Jakaya Kikwete
Deni lote la Taifa ( Ndani na Nje ) limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 43 mwaka 2015 Wakati Rais @MagufuliJP anaingia madarakani mpaka shilingi Trilioni 65 mwezi Julai 2019! Ongezeko la Deni kiasi cha shilingi Trilioni 22, sawa na kukopa 5.5tr/mwaka, 0.5tr/mwezi, 17bn/SikuView attachment 1855934
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app