Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

Waziri Mwigulu: Makato ya Miamala ya Simu tunatunisha mfuko, ni 'Solidarity Fund'

Am not here! For such! gel! Ma drift? By de way waj'dat B'A English to me?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]



Tuchat kwa kiswahili bana unaandika uharo

Unajiona na wewe Blaq America
 
Huyo aliekuja kukusanya Kodi Hadi anakufa ;

1. Hakuajiri Kama awamu ya 4
2. Hakuongeza madaraja watumishi
3. Hakuongeza mishahara watumishi
4. Alipunguza vyeti feki ila hakuajiri kuziba pengo
5. Alikopa zaidi ya awamu zote
Mkuu ni kweli JPM hakuajili sana na kuongeza mshahara lakini alikuwa na lengo la kujenga nchi kwanza, alijua namna ya kuwabana wafanyabiashara wakubwa ili Kodi ipatikane na amefanya mengi kwa kutumia Kodi hizo Kama ujenzi wa barabara, madaraja/flyovers, miundo mbinu ya Afya, miradi ya maji, Usambazaji umeme vijijini na miradi mikubwa kabisa SGR na Bwawa la umeme la Rufiji.

Yote hayo yamefanyika bila watu maskini kuumizwa katika kulipishwa Kodi Kama inavyotokea Sasa hivi.


Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ni kweli JPM hakuajili sana na kuongeza mshahara lakini alikuwa na lengo la kujenga nchi kwanza, alijua namna ya kuwabana wafanyabiashara wakubwa ili Kodi ipatikane na amefanya mengi kwa kutumia Kodi hizo Kama ujenzi wa barabara, madaraja/flyovers, miundo mbinu ya Afya, miradi ya maji, Usambazaji umeme vijijini na miradi mikubwa kabisa SGR na Bwawa la umeme la Rufiji.

Yote hayo yamefanyika bila watu maskini kuumizwa katika kulipishwa Kodi Kama inavyotokea Sasa hivi.


Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Flyover gani imejengwa kwa fedha za ndani ?

Hebu fuatilia Mambo acha kuleta blabla hapa.
 
It's better you use Swahili language to write your nonsense but understandable than using Overseas language confusedly
Always jobless! monkeys w'll end up onto comfusions. no way out!!
 
Mtakoma mwaka huu ni wenu
Watakoma kina nani sasa?

Bado mtanena sana kwa lugha!

Tukikuwa tunawacheki tu mlipokuwa mnamdemkia eti anaupiga mwingi!

Hivi Malisa bado anatoa vile vi makala vyake uchwara vya kumsifu mama kwamba anawaokomoa mataga kiakili?

Na bado nyumbu nyie
 
Kusema ukweli Mama Samia amezingua kweli hili. Watu sio kwamba hawataki kuchangia cha msingi ongezeko lingekuwepo si kwa kiasi kile.
Serikali inapendekeza bunge linapitisha mbona tunawashambulia upande mmoja Kama wabunge wa jpm hawahusiki[emoji23]
 
Hello Dear !

You look forcing American Slang while you're too shallow onto!

Keep learning and spend time watching Black American podcasts to become a good American Slang Speaker and writter, You'll otherwise confuse your listeners and readers.

Go Get it!
Braaa!! Off!!! to ya! fellow Monkeys in de jungle!! Do'n ever try to inter feer ma flows once again Ok!! Bye moron!!!!
 
Mitanzania mijinga,michawi imerogwa sana!!! Yenyewe kulaumu tuuuu!!! Wkt haifanyi chochote cha maana.japo si wote..

Wapo wastaarabu km kikwete families!! Mwinyi.Dr Manyonyi families nk.lkn wengine km lileta mada ni roho ya kutu tupu.

Fanya kazi kufa na kupona lipa kodi ya sirikali..sirikalu inakulinda ili ufanye kazi salama hkn lele mama hapo!! Tatizo lenu...

Wivu wa kitoto huu!! sababu mama anakula air line to Dodoma baasi ni.
chuki.
Visununu.
choyo.
vinyongo visivyoisha!
Dhiki binafsi.
ulafi.
umimi .
u haleluya bwana kuba za kinafiki.

Vinawasumbua sana ngozi nyeusi ...ndo maana mliuza ndg zenu utumwani bila huruma. Kwa malipo sawa na bure ya shanga na pombe .kuumbe hamjaisha humu africa...

Mpaka leo US Niggas hawa wapendi wanawaita majina mabaya "Nigga from de bush" hawataki kurudi.na km ni hivi...

Diaspora haturudi kamwe!! Ile dhambi ya kuwauza ndg zenu utumwani tena mnacheka wao wakilia itawatafuna mpaka mlie poo!! Nasema waafrica! Wa bongo...

Hamtakuwa na amani ya moyo wa kutulia... km wa Mleta mada, huyu ni mfano mzuri wa kuhaha na maisha.

Mpaka mkubaliane na mlio wauza utumwani!! Muwaombe msamaha wa dhati ya moyo. Mpate mtu makini km Mimi awaongoze muombe msamaha huo.

Bila hivo kila Rais/kiongozi mtaona Anakasoro tu hafai.kuwaongoza. Nyie mnaona mapungufu tuuuu!!angalieni mazuri pia kwani huyo Mama Samia ni Malaika??? Hakika

Mtauana kila uchao na kushikana uchawi km hawa wenzenu wamesha anza kitambo na wanaendelea kuchinjana bila kujali...

Somali...Hawatwaliki wamejikataa kabisa wanajiona waarabu.arabs hawawataki dhambi inawatafuna

Nigeria ..bado ngoma mbichi viongozi wao wanajua mchezo mzima.

central africa. .. Ngoma mbichi ndo ilikuwa njia kuu.

Kenya...viongozi wanajua kinacho endelea nyuma ya pazia.

Uganda...wsliwaswaga watumwa wasonge mbele.

Ethiopia...walinunua pia na kuuza.

Liberia...Dooo hapa ndo kabisaaa mamilioni ya Tani za damu ziko ardhini.

cameroon...km liberia tu.

siera leon...na hii imo

south africa..walikombolewa kwa kafara ya damu ya ndg zao!! Waliokombolewa Wakawaua tena wakombozi dhambi hii inawatafuna mpaka dakika hii napo ongea hapa!!

Na sasa msumbiji nk.
Kwani Tanzania mnadhani nyie ni nani msiwe km hao majirani zenu???

Chuki zinaanzaga hivihivi km ya mleta mada...kazi yako Toa ushauri siyo km unavo sema.

Mpaka inaonekana AU wameshindwa kufanya kazi bora ife tu.

Km Rais ana chongo lkn wengi wamempa bila kuiba!! ridhika! wewe mnyime kura yako na ya mkeo km ukiweza mshawishi. Watu km nyie familia zenu ni shida tu!!!

Kwendaaaraaaaa!!mfyuxcvxccbn.
Nonsense
 
Braaa!! Off!!! to ya! fellow Monkeys in de jungle!! Do'n ever try to inter feer ma flows once again Ok!! Bye moron!!!!
You neither Know Swahili Nor American Slang. Just mumming how stupid and insane you're.
 
Ooh! Yeaar Dei' are ma bro men!
Hahaha watu tunaongea Colloquial ya England kutokea Mitaa ya Borough na hatujitapi na Wala hatuwezi kuandika humu.

Ila wewe hizo slang kwanza huzijui unajifanya unajua, nikianza kukuandikia hiyo slang sidhani hata Kama uta reply.

Kiingereza hujui, Rudi shule. Nakushauri uwe unatumia kiswahili kabla hujaiva na kuwa mkomavu wa Kiinglishi otherwise unajiaibisha.


[emoji3][emoji3]
 
You neither Know Swahili Nor American Slang. Just mumming how stupid and insane you're.
Ma! meen! waja mean? Are 'u out of sense? Ja know who am I,? In connection where u'r speakin' from?

Oooh!! yaaa!!!! just specuration!!!
 
Ma! meen! waja mean? Are 'u out of sense? Ja know who am I,? In connection where u'r speakin' from?

Oooh!! yaaa!!!! just specuration!!!
Eti Specuration [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wewe ni mkurya nini

It's Speculation wewe tabulasa why do you force writing language you are not capable with ?
 
Back
Top Bottom