Waziri Mwigulu: Serikali itakopa Tsh. Trilioni 8.69 kwaajili ya Bajeti ya mwaka 2024/25

Ana Phd
 
Wapalestina nao wapunguze kuwabagua wapalestina wenzao Wayne asili ya afrika;
 
Kutumbuliwa kwako katika serikali iliyopita ina maana ulikuwa mzigo wa taifa na huna uchungu wowote na nchi hii.
Endeleeni kukopa muendelee kula na watoto wenu na laana itawatafuna mchana kweupe.
 
Samia hatakiwi kumkubalia kila kitu mwigulu. Pesa zinapotea hazijulikani zinaenda wapi, bado anashawishi kukopa.
Zikipotea anatetea .huyu mtu huyu..!!
 
Wapalestina nao wapunguze kuwabagua wapalestina wenzao Wayne asili ya afrika;
Mtu mweusi kutoka afrika anabaguliwa kwa sababu ya kuendelea kujidhalilisha miongoni mwa jamii mbalimbali za binadamu. Wanatuangalia na hawaoni mchango wetu kwenye suala lolote lile la kimaendeleo.

Mhispania anambagua mtu mweusi halafu yeye akisogea ulaya ya kaskazini anabaguliwa vile vile!.

Mpalestina anambagua mtu mweusi na akisogea penye wazungu wengi anabaguliwa vile vile!.
 
Jamaa ni msomi mzuri sana na mtaalamu wa uchumi
 
Ujumbe mpana ni ubaguzi wa wayahudi. Kujiona wao watu wa maana sana na kunyanyasa wapalestina wanaoishi nao karne na karne.
 
Jamaa ni msomi mzuri sana na mtaalamu wa uchumi
Tatizo la watanzania wanaweza kukuanzisha chuki zisizo na msingi mpaka yale mema yote yakaonekana hayana thamani yoyote.

Tupo very negative siku zote. Tuna wepesi wa kukasirika na kumuongelea mtu vibaya bila sababu zenye kueleweka.
 
Waziri wa Fedha, Dkt. Mw
igulu amesema hayo bungeni akiwasilisha mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango wa bajeti ya mwaka 2024/25.​
Kwa hiyo keshajihakikishia maokoto kwenye hizo hela??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…