ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Naona Taratibu Serikali imeanza kupunguza kiwango Cha mikopoWaziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema serikali inatarajia kukusanya na kutumia TZS trilioni 47.4 katika bajeti ijayo. Mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa TZS trilioni 34.4, washirika wa maendeleo wanatarajiwa kuchangia TZS trilioni 4.29 na mikopo ni TZS trilioni 8.3.
Mwigulu amesema hayo bungeni akiwasilisha mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango wa bajeti ya mwaka 2024/25.
Yaliwahi kumuua nani?Haya madeni yatatuua, yule Mgogo alisema ukweli hawa Wanyiramba hata huruma hawana.
Na sasa wanamshambulia Mpina na kwa taarifa yenu huo uchawi wa Kiomboi haufui dafu kwenye mizizi ya Gambosh.
Na ndiyo maana nimeanza na simtusi!Unamsema hivyo waziri wa fedha
Mbona hujaeleza huo uelewa wake mdogo ulivyo na uelewa wako mkubwa Ili tulinganishe?Bila chuki wala hiyana, huyu Mh. anayeitwa Mwigulu Nchemba sijawahi kumkubali.
Ukitazama kikao kilichofanyika baina ya serikali na wafanyabiashara wa Karia Koo huyu jamaa ana uelewa mdogo sana!
Yaani ni mtupu kabisaaaaa! Ni kiburi tu cha chama Tawala ndicho kinachomlinda.
Kwanza hujui uchumi,Kwa taarifa Yako tuu Kwa Serikali kukopa ni lazima na Nchi zoooote Duniani zinakopa Kwa sababu kukopa ni tool ya economic regulation.Kwa mtazamo wangu ,ipo haja kubwa sana Kwa serikali kibuni njia mbadala wa kupata fedha ambazo zitaweza kujitosheleza kwenye budget ya Taifa na si kukopa kila mara. Kwa sasa ianze kulipa deni la Taifa kwani limekuwa kubwa sana ili kuepusha ongezeko la kila mwaka.
Mbona tunvyo vyanzo vingi tu hapa kwetu ,mbuga za wanyama,maziwa,migodi,gesi,makaa ya mawe nk.
Unajua changamoto tuliyonayo ni kuwa ni lazima tukubali tuna viongozi wenye walakini wa kutumia akili zao vizuri.Kwa mtazamo wangu ,ipo haja kubwa sana Kwa serikali kibuni njia mbadala wa kupata fedha ambazo zitaweza kujitosheleza kwenye budget ya Taifa na si kukopa kila mara. Kwa sasa ianze kulipa deni la Taifa kwani limekuwa kubwa sana ili kuepusha ongezeko la kila mwaka.
Mbona tunvyo vyanzo vingi tu hapa kwetu ,mbuga za wanyama,maziwa,migodi,gesi,makaa ya mawe nk.
Machadema Huwa ni majinga sana.Juzi tuu hapo mumesikia taarifa ya IMF kuongezea Serikali Dola mil.150 na kufanya budget support kutoka imf pekee kuwa Dola Milioni 452 sawa na zaidi ya 1Tr na Kila mwaka wanatoa Kwa sababu ni commitment ya lazima.Hao washirika wa maendeleo waliwaambia watatoa hicho kiasi, au ni wishful thinking ya Mwigulu na Samia?
Kama wasipotoa tunarudi kule kwenye nakisi ya bajeti, matokeo yake pesa hazitafika mawizarani kama ambavyo wizara husika ziliomba..
Baada ya hapo ni mkwamo, miradi kadhaa haitasogea, licha ya serikali hiyo hiyo kuwa tayari ilishakopa trilioni kadhaa kwa ajili ya kuongezea kwenye bajeti hiyo hiyo..
Umaskini ni mbaya asikwambie mtu, unaweza kuwa na shida ya kiasi fulani cha pesa, ukaomba ukaomba lakini bado usipate kile ulichohitaji, bado ukaamua na kukopa kabisa, lakini bado kuna baadhi ya mambo yako hayatasogea!.
Lakini ajabu ya karne sasa, utakuta viongozi hao hao wanaoshuhudia huo mkwamo, bado wanatoa pesa nyingi kwaajili ya kununua v8 zenye viyoyozi ili ziwape raha wakiwa safarini, hapa ndipo utatambua kama taifa tu maskini wa akili pia.
Nje mkopeshaji zinakuwa taasisi eg WB,Imf, AFDB,Mabenki ya kibiashara,Nchi mbalimbali mfano Tanzania Ina deni kubwa zaidi na Iran.naombeni nieleweshwe kidogo,hivi deni la ndani mkopeshaji anakuwa ni nani?,na deni la nje mkopeshaji ni nani?
Wewe mwenye akili tuwekeeni hapa mawazo yako tuone hizo akili zako na Ili Serikali ijifunze.Unajua changamoto tuliyonayo ni kuwa ni lazima tukubali tuna viongozi wenye walakini wa kutumia akili zao vizuri.
Mimi ninachokiona wanendesha nchi kimazoea. Hawana akili ya kufikiria kabisa bali ni mazoea tu ndiyo yanayowafanya kuendesha nchi! Kwamba tutakopa! Tutakopa! Tutakopa!
Ndugu mtanzani, kwanza tufahamu kukosoa si dhambi, kukosoa si chuki, kukosoa si jinai!Mbona hujaeleza huo uelewa wake mdogo ulivyo na uelewa wako mkubwa Ili tulinganishe?
Sasa kwani majibu yake yalikuwa na shida gani kwako? Ukisema huyu hamna kitu lazima utuoneshe kitu chako Bora kushinda yeye tofauti na hapo ni chuki binafsi.Ndugu mtanzani, kwanza tufahamu kukosoa si dhambi, kukosoa si chuki, kukosoa si jinai!
Na sijamtusi, kama uwasilishaji wangu unaona wenye kukwaza nipatie maneno yaliyo bora zaidi lakini yaliyobeba ujumbe huo huo.
Tukirudi kwenye suala uliliuliza majibu yake yapo dhahiri kabisa! Ukweli mwepesi ni kile kikao kilichofanyika baina ya serikali na wafanyabiashara wa Karia Koo.
Tafuta video za mkutano huo zipo youtube kisha utapata taswira kamili.
Ndugu, mimi ni mtanzania pia! Ni raia wa hii nchi. Na nalipa kodi! Nachangia pato la ujenzi wa Taifa letu.Wewe mwenye akili tuwekeeni hapa mawazo yako tuone hizo akili zako na Ili Serikali ijifunze.
Huo ni mtazamo wako na siupingi.Sasa kwani majibu yake yalikuwa na shida gani kwako? Ukisema huyu hamna kitu lazima utuoneshe kitu chako Bora kushinda yeye tofauti na hapo ni chuki binafsi.
Kipi ulichokosoa na kuonesha njia mbadala zaidi y kuja na conclusion Yako?Huo ni mtazamo wako na siupingi.
Kipi kinifanye niwe na chuki na Mwigilu?!
Mimi ni muslim ndugu! Kwetu ukosoaji ni suala la kawaida. Kama kwenu ukosoaji una hesabika ni chuki, kwetu mantiki yake ni kuupata usawa!
Lazima tukope vinginevyo utashindwa kuendesha Singida big starsWaziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema serikali inatarajia kukusanya na kutumia TZS trilioni 47.4 katika bajeti ijayo. Mapato ya ndani yanatarajiwa kuwa TZS trilioni 34.4, washirika wa maendeleo wanatarajiwa kuchangia TZS trilioni 4.29 na mikopo ni TZS trilioni 8.3.
Mwigulu amesema hayo bungeni akiwasilisha mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango wa bajeti ya mwaka 2024/25.
Weka mawazo Yako Bora badala ya kuishia kutukana na kulaumu.Ndugu, mimi ni mtanzania pia! Ni raia wa hii nchi. Na nalipa kodi! Nachangia pato la ujenzi wa Taifa letu.
Sipo kwa utimu, sipo kwa mechi! Nipo kitaifa.
nashukuru kwa kunipa uelewaNje mkopeshaji zinakuwa taasisi eg WB,Imf, AFDB,Mabenki ya kibiashara,Nchi mbalimbali mfano Tanzania Ina deni kubwa zaidi na Iran.
Mkopeshaji wa ndani ni kama umewahi sikia Serikali inauza bonds pale taasisi za Fedha eg banks na mifuko ya pensions ndio hukopesha Ili baadae wake kupata faida.