Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nakubaliana na wewe kabisa 100%Awamu ya sita ikimaliza utawala wake nchi itakuwa imefilisika na hakutakuwa na maisha daraja ya kati ila ni matajiri saana maana ya wafanyakazibiashara na mafukara wa kutupwa!
Mambo ya Mr Minded CleanSanaaaa, Mkuu wa Idara akipigwa chini anaondoka na gari lake, anayeingia atasubiri MTEF iruhusu kununuliwa gari jipya?!
Tapeli sana huyo Jamaa.Mambo ya Mr Minded Clean
Hizi gharama za kukarabati si ni nyie mlio ziendekeza kwa kuvunja karakana halmashauri
Bwashee hakuna Wizi Mfumo wa Dunia unabadilika, 2025 kuna Watu watakataa kugombea Uongozi😅😅Hapo ndio uwizi unapoanza
Mshahara wa DC ,RC, Wakurugenzi, utaendelea kulipwa na Serikali.Ok......Sasa mtu akopeshwe gari, service apeleke mwenyewe, mafuta ajaze mwenyewe halafu akubali liendeshwe na mtu mwingine? Ambaye huenda ana uendeshaji mbaya itakayompelekea bosi kwenda gereji kila mara kwa pesa zake? Difficult.
Kwani lazima atumie la 600ml? Kila mtu atakopa gari kadiri ya uwezo wake. Nchi nyingi wanafanya hivyo. Mambo ya kuwa na magari mengi ya serikali ni kizamani sana. Hatua hii kama itatekelezwa itaenda kuokoa mabilioni mengi ya serikali. V8 kwa sasa hazihitajiki kutokana na maboresho makubwa ya mtandao wa barabara nchi. Let us be fair to the tax papers.Yaani ukopeshe mtu gari ya 600mil 😃
Wizi utapungua.😅😅Hapo ndio uwizi unapoanza
Kwani Wabunge wanakopeshwaje? Rwanda wanafanya hivyo pia.Kitakachofanyika ni kuvujisha kapu la serikali na kutumia fedha ya serikali hiyohiyo kujilipia huo mkopo
Wanatakiwa kuwa Waajiriwa wa Mkataba maeneo wanayotokeaHili gumu DED akihamishwa mnanunua gari lingine la kumkopesha DED mpya?
Hizi gharama za kukarabati si ni nyie mlio ziendekeza kwa kuvunja karakana halmashauri ?
Hata safari za nje WATAPUNGUA bila kuambiwa!!Bwashee hakuna Wizi Mfumo wa Dunia unabadilika, 2025 kuna Watu watakataa kugombea Uongozi
G7 wako Tokyo kutathmini Maisha baada ya Vita ya Israel na Palestine
Huko mbele kuna giza totoro!
Rwanda inafanya hivyo.Tupe mawazo ya KisasaMawaziri wetu wanawaza kizamani sana
US Dollar yenyewe kuipata mtihani!Hata safari za nje WATAPUNGUA bila kuambiwa!!
Kila level Ina category ya magari.V8 Kwa DED inafanya nini?DED mwenye kupokea 3m aweza vp kubali kukopshwa V8 ya 600ml.
Habari ya V8 ndo imeishia hapo,
Land cruiser mkonga inarudi mzigoni.
Na Bado, tunakoelekea hatujafika.