Hizo taarifa zao zinatusaidia nini, wakae nazo tu, wambie watumie whatsapp au email, simple tu.Swali la nyongeza kwa mh waziri
Natoa pongezi kwa wakurugenzi na wakuu wa idara kukopeshwa magari.
Je ? Ni lini serikali itafikiria kuwakopesha watendaji wa vijiji angalau baiskeli ili kuwaeezesha kuzungukia vijiji na kupeleka taarifa ofisi ya kata?
Sema CCM inaliangamiza taifa, wakati siku zote tunapiga kelele ccm ni janga la taifa mlituona si wazalendo haya leo kipo wapi?? Nabado Kipara weweeAwamu ya sita ikimaliza utawala wake nchi itakuwa imefilisika na hakutakuwa na maisha daraja ya kati ila ni matajiri saana maana ya wafanyakazibiashara na mafukara wa kutupwa!
Ukatwa kwenye mshara wao kama ilivyo wanafunzi.Umewahi kupewa ripoti kuwa wamerudisha ?
Mwenzio daima dumu huambiwa wamekopeshwa ?
Ila tu, kitendo Cha kutamka watumishi watakopeshwa, kitapunguza Mzigo Kwa kiasi kikubwa,Watasingizia fedha za maintenance n.k
Waambie waweke salary sleep zao mtandaoni uone madudu mi nikonayo moja hapa ya kwangu sijui niwekeUkatwa kwenye mshara wao kama ilivyo wanafunzi.
Kwanza huwa wanafanya nini hao DC na DAS, mwenye kujua kazi zao atujulishe.Hapo kwenye public transport Bado Kuna hatua kadhaa Ili kupafikia.
Mkwamo wa kiuchumi unakuja ndo unawalazimisha kuchukua hatua hizo.
Tukiondokana na V8 Kwa DC,RC, KATIBU WAKUU NA WASAIDIZI MAWIZARANI, wakakopeshwa Toyota land cruiser mkonga, mbona itapunguza Mzigo Kwa wananchi!!
Subiri utekelezaji ni ndotoIla tu, kitendo Cha kutamka watumishi watakopeshwa, kitapunguza Mzigo Kwa kiasi kikubwa,
Makatibu wakuu wa wizara na viongozi wengine hawatokopa,
Watatumia magari Yao.
Ni hatua njema hiyo, ingawa Mwigulu atakuwa ameshafukuzwa.
Mbunge ni tofauti na DCUnakopeshwa mwenyewe na unapimiwa mafuta Sasa Ukiharibu Utajua mwenyewe ila we want our kazi be done.
Sijaelewa Bado shida itakuwa ni wapi? Mbona Kwa wabunge lomewezekana?
Na muda wowote kuna kutumbuliwa..Sasa gari ya milioni mia tatu huyo DED au DC atamaliza lini kulilipa?? AU atakuwa kwenye ajira only kununua gari?
DED mwenye kupokea 3m aweza vp kubali kukopshwa V8 ya 600ml.
Habari ya V8 ndo imeishia hapo,
Land cruiser mkonga inarudi mzigoni.
Na Bado, tunakoelekea hatujafika.
Ukisoma btn the lines,
V8 zitabaki Kwa Rais na Pm bas, wengine watarudi kwenye Land cruiser mkonga.
Na kinachosikitisha, wanachukua hatua hizo Leo, Si kwamba wanasikiza wananchi no, ni kwamba madeni yamewaelemea.
BOT mbona wanafanya na mambo yako poaSerikali iliwahi kusema inatumia Bil.550 Kwa mwaka Kuagiza magari, vipuri, mafuta na matengenezo Kila mwaka.
--
Akijibu swali la Mbunge Asia Abdulkarim Halamga aliyehoji sababu za Serikali kutumia Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) ambaye ananunua Magari kwa gharama kubwa kuliko bei ya Soko la Dunia, Waziri wa Fedha, Dkt, Mwigulu Nchemba amesema Serikali inatazamia kuanza kuwakopesha Watumishi wenye sifa ili kuondoa mzigo wa Mafuta na Matengenezo Serikalini.
Kuhusu utaratibu wa kuagiza Magari moja kwa moja Viwandani badala ya kutumia Mawakala, Dkt. Mwigulu amesema "Kuna baadhi ya mazingira yanaruhusu Serikali kununua kwa mawakala, pia, baadhi ya Viwanda havipendi wanunuzi waende moja kwa moja Viwandani".
Kwa mujibu wa taarifa iliyowasilishwa na Wizara ya Fedha Bungeni mwaka 2022, Serikali ilikuwa na Magari 15,742, Pikipiki 14,047 na Mitambo 373 huku ikitumia zaidi ya Tsh. Bilioni 500 kila mwaka kwaajili ya Ununuzi wa Magari mapya, Mafuta, Vipuri na Matengenezo.
My Take
Naona Kuna kigugumizi Cha kuchukua maamuzi.
Toka mwaka juzi mnaongelea hili jambo na hamfiki Muafaka.
Semeni kama Serikali kwamba deadline itakuwa lini? Na Je Madereva mtaajiri wa Umma au Kila boss na dereva wake?
Hiyo gari mkonga ni nzuri sana!DED mwenye kupokea 3m aweza vp kubali kukopshwa V8 ya 600ml.
Habari ya V8 ndo imeishia hapo,
Land cruiser mkonga inarudi mzigoni.
Na Bado, tunakoelekea hatujafika.
Mkopo wa Hilo gari ,unakuta hauzidi mil 7Yaani ukopeshe mtu gari ya 600mil 😃
Safi sanaBOT mbona wanafanya na mambo yako poa
Wewe uliye karibu na mama ndio utuambie!Ifikisike Kwa lipi? Kuna awamu inazalisha pesa nyingi kupita awamu ya 6?