mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Ambulance apewe DMO hakuna namna gharama za kukarabati zimekuwa kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣........wahudumu si tayari wapo?Labda mtakuwa wahudumu
Hawa jamaa akili ndogoSasa gari ya milioni mia tatu huyo DED au DC atamaliza lini kulilipa?? AU atakuwa kwenye ajira only kununua gari?
Ndio maana wengi tumegoma kulipa mikopo ya elimu ya juu inyeshe liwake maana tumefika pabaya sanaKodi zetu zinatumika kisenge sana
😅😅Hapo ndio uwizi unapoanzaDED mwenye kupokea 3m aweza vp kubali kukopshwa V8 ya 600ml.
Habari ya V8 ndo imeishia hapo,
Land cruiser mkonga inarudi mzigoni.
Na Bado, tunakoelekea hatujafika.
Hatari hii🤣🤣🤣🤣🤣........wahudumu si tayari wapo?
Kwamba ndivyo inavyotakiwa kuwa?Wee ukikopeshwa gari na serikali unalipa la nini?
Jiongeze utafika mbaliDili kiaje hapo sasa
Kwa nchi hii ya kujipimia umechukua V8 unalipa ya kazi gani kwani kuna sehemu unasaini usipo lipa unanyongwa ?Kwamba ndivyo inavyotakiwa kuwa?
Acha tu mkuu..saa mbovu kweli kweli.Hawa jamaa akili ndogo
Ok......Sasa mtu akopeshwe gari, service apeleke mwenyewe, mafuta ajaze mwenyewe halafu akubali liendeshwe na mtu mwingine? Ambaye huenda ana uendeshaji mbaya itakayompelekea bosi kwenda gereji kila mara kwa pesa zake? Difficult.Madereva hawatoguswa,
Mav8 ndo yatayeyuka.
Serikali iliwahi kusema inatumia Bil.550 Kwa mwaka Kuagiza magari, vipuri, mafuta na matengenezo Kila mwaka.
--
“Mtazamo wa Serikali ni kuendelea kupunguza masuala ya matumizi ya magari [...] Badala ya serikali kuwa inamiliki haya magari, tunataka watumishi wanaopata sifa ya kuwa na magari wakopeshwe yawe ya kwao ili kuipunguzia Serikali mzigo wa kuyaendesha magari, kuyapatia ‘service’ pamoja na vitu vingine vinavyotakiwa.” – Dkt. Mwigulu Nchemba
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1722154691599925379?t=UwMJqonggWDnKfg-JyS9WA&s=19
My Take
Naona Kuna kigugumizi Cha kuchukua maamuzi.
Toka mwaka juzi mnaongelea hili jambo na hamfiki Muafaka.
Semeni kama Serikali kwamba deadline itakuwa lini? Na Je Madereva mtaajiri wa Umma au Kila boss na dereva wake?
Wanamkosa Mwasibu mbobezi hapo wizaraniHawa jamaa akili ndogo
Sanaaaa, Mkuu wa Idara akipigwa chini anaondoka na gari lake, anayeingia atasubiri MTEF iruhusu kununuliwa gari jipya?!Hatari hii
Gari ya milionini 200 itauzwa kwa milioni 17Dili lingine la upigaji na taifa limempata mpigaji hasa
ni idea ambayo haiwezi kufanya kazi kama wameona mzigo mkubwa wapunguze idadi ya watumishi wanaostahilii magari ya serikaliOk......Sasa mtu akopeshwe gari, service apeleke mwenyewe, mafuta ajaze mwenyewe halafu akubali liendeshwe na mtu mwingine? Ambaye huenda ana uendeshaji mbaya itakayompelekea bosi kwenda gereji kila mara kwa pesa zake? Difficult.
Hatari sana. Sema mambo yenyewe ya vificho ficho. Wanatakiwa waonyeshe mpango kazi. Watumishi gani watawakopesha? Magari aina gani? Mtu akiachishwa majukumu yake mkopo utakuwa na hali gani? Je hakuna option nyingine zaidi ya hiyo ya kukopeshana??Yaani ukopeshe mtu gari ya 600mil 😃