Toyota land cruiser mkonga irudi mzigoni.Halafu hawa wakuu wa wilaya walio mijini. Wakurugenzi, wakuu wa miko V8 za nini,
Na miundombinu hipo sawa.
V8 iliingia Awamu ya 4 Kwa sifa tu za viongozi kupendanufahari wa mchongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toyota land cruiser mkonga irudi mzigoni.Halafu hawa wakuu wa wilaya walio mijini. Wakurugenzi, wakuu wa miko V8 za nini,
Na miundombinu hipo sawa.
Ifikisike Kwa lipi? Kuna awamu inazalisha pesa nyingi kupita awamu ya 6?Awamu ya sita ikimaliza utawala wake nchi itakuwa imefilisika na hakutakuwa na maisha daraja ya kati ila ni matajiri saana maana ya wafanyakazibiashara na mafukara wa kutupwa!
Ndivyo mwigulu alivyosema?Wanatakiwa kuwa Waajiriwa wa Mkataba maeneo wanayotokea
Hili zoezi lilishawahi kufanyika kabla hawajauziana nyumba za Serikali na likafeliRwanda inafanya hivyo.Tupe mawazo ya Kisasa
Tatizo jamaa wana 10% kwenye huo mkataba wa toyota, so kila siku zitakuwa ngonjera tuu, kuna watu wanaonufaika sana na huo mkataba.Toyota land cruiser mkonga irudi mzigoni.
V8 iliingia Awamu ya 4 Kwa sifa tu za viongozi kupendanufahari wa mchongo.
Hapo kwenye public transport Bado Kuna hatua kadhaa Ili kupafikia.Maneno matamu lakini utekelezaji ni zero, hata Pinda alisema V8 zisinunuliwe lakini matokeo yake ndiyo zikazidi, kwenye nchi yetu watu wanaotakiwa kutumia magari ya umma. 1. Rais, 2.PM, 3.Spika na 4.Jaji Mkuu, wengine wote wanatakiwa kutumia public transport.
Ni sawa, watalazimika kuvunja mkataba huo,Tatizo jamaa wana 10% kwenye huo mkataba wa toyota, so kila siku zitakuwa ngonjera tuu, kuna watu wanaonufaika sana na huo mkataba.
Serikali iliwahi kusema inatumia Bil.550 Kwa mwaka Kuagiza magari, vipuri, mafuta na matengenezo Kila mwaka.
--
“Mtazamo wa Serikali ni kuendelea kupunguza masuala ya matumizi ya magari [...] Badala ya serikali kuwa inamiliki haya magari, tunataka watumishi wanaopata sifa ya kuwa na magari wakopeshwe yawe ya kwao ili kuipunguzia Serikali mzigo wa kuyaendesha magari, kuyapatia ‘service’ pamoja na vitu vingine vinavyotakiwa.” – Dkt. Mwigulu Nchemba
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1722154691599925379?t=UwMJqonggWDnKfg-JyS9WA&s=19
My Take
Naona Kuna kigugumizi Cha kuchukua maamuzi.
Toka mwaka juzi mnaongelea hili jambo na hamfiki Muafaka.
Semeni kama Serikali kwamba deadline itakuwa lini? Na Je Madereva mtaajiri wa Umma au Kila boss na dereva wake?
How?Kitakachofanyika ni kuvujisha kapu la serikali na kutumia fedha ya serikali hiyohiyo kujilipia huo mkopo
Wabunge wana access kwenye mafungu ya serikali? fikiria wakurugenzi, makatibu wakuu na watu wanaofanana na haoKwani Wabunge wanakopeshwaje? Rwanda wanafanya hivyo pia.
Mfanyabiashara anaambiwa hawezi pata zaidi ya uds 100,US Dollar yenyewe kuipata mtihani!
Unakopeshwa mwenyewe na unapimiwa mafuta Sasa Ukiharibu Utajua mwenyewe ila we want our kazi be done.Hili zoezi lilishawahi kufanyika kabla hawajauziana nyumba za Serikali na likafeli
Uzalendo wa Wanyarwanda siyo wa kutanguliza Tumbo tofauti na hapa kwetu Watu Wana matumbo ya tembo
Hao ndio Wana access zaidi ya Wabunge Kwa sababu hao ni Maafisa masuuliWabunge wana access kwenye mafungu ya serikali? fikiria wakurugenzi, makatibu wakuu na watu wanaofanana na hao
Hajasema hivyo ila ni mapendekezo ya WabungeNdivyo mwigulu alivyosema?
Watasingizia fedha za maintenance n.kHapo kwenye public transport Bado Kuna hatua kadhaa Ili kupafikia.
Mkwamo wa kiuchumi unakuja ndo unawalazimisha kuchukua hatua hizo.
Tukiondokana na V8 Kwa DC,RC, KATIBU WAKUU NA WASAIDIZI MAWIZARANI, wakakopeshwa Toyota land cruiser mkonga, mbona itapunguza Mzigo Kwa wananchi!!
Kwani kwa wabunge wabafanyaje, mbona mambo uenda vizuriHili gumu DED akihamishwa mnanunua gari lingine la kumkopesha DED mpya?
Hizi gharama za kukarabati si ni nyie mlio ziendekeza kwa kuvunja karakana halmashauri ?
Unagomaje kulipa hiyo hela au unagomaje kulipa bima ya afya au nssf labda uwe umejiari.Ndio maana wengi tumegoma kulipa mikopo ya elimu ya juu inyeshe liwake maana tumefika pabaya sana
Umewahi kupewa ripoti kuwa wamerudisha ?Kwani kwa wabunge wabafanyaje, mbona mambo uenda vizuri